Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ela leo hii hapa wadau mtanikosoa....Panathaikos,Sevila,Lazio,Benofica,Tottenham,Southapton,Belenenses,Braga na Sporting CP.................kazi kwenu!!
 
ndugu zanguni naombeni mnielekeze namna yakuangalia mkeka wako
ambao umeuweka kwenye Apps ya Meridian
maana sijui mwenzenu hii apps ndio naanza kuitumia
M

MSAADA WENU TAFADHARI
 
Kwa kweli sijui kama ipo ila ni bora uwe unaandika kwenye karatasi ulicho bet au anachukua screen shot kabla ya kusubmit
 
Jamani ktk mchezo wa basket over under na ou zinamana gani? Nataka nianze kuliwa au kula pesa za escrow! Pl's!!!!
 
ndugu zanguni naombeni mnielekeze namna yakuangalia mkeka wako
ambao umeuweka kwenye Apps ya Meridian
maana sijui mwenzenu hii apps ndio naanza kuitumia
M

MSAADA WENU TAFADHARI

Ukisha-login ktk account yako click kuna sehemu imeandikwa "MY ACCOUNT" then ingia "TICKETS" afu ukiangalia chini kdogo kulia utaona maneno yameandikwa "winner", "open", "looser" na mengine ambayo sionagi kama ni ya muhimu sana. Hakikisha katika hayo maneno mbele yake kuna alama ya tick, then angalia juu ya hayo maneno kuna maneno yameandikwa "search from" ........... "search up to" .......... hapo utaset tarehe ambazo hiyo ticket(s) yako uliicheza then click "search". Kama hujaelewa ni-PM
 
Game za leo jamani tupeane ujuzi kwa wale wanaojua
 
Attachments

  • 1421255071021.jpg
    1421255071021.jpg
    19.6 KB · Views: 116
  • 1421255086406.jpg
    1421255086406.jpg
    18.7 KB · Views: 105
Wadau siku kama za Jmosi na J2 ambazo mara nyingi kunakuwa na games za kumwaga tushirikiane mapema kuanika mikeka humu jamvini. Kwa kwa games za Jmosi 2naweza anza kuanika mikeka Ijumaa then hadi Jmosi asubuhi mida ya sa4 au sa5 tunakuwa tumeshapata mwanga flani. Kuna tips nyingi tu znasaidiaga sana ktk kuchagua teams za kuwekea mzigo. Mfano kuna jamaa kaandika Valencia na Malaga hazijawahi kushinda kwa pamoja zikicheza siku 1, pia kuna sehemu niliona miongoni mwa teams ambazo zimecheza games nyingi bila gamea zake kuhusisha matokeo ya sare ni Espanyol, yaani yeye either afungwe au ashinde, jana ni game yake ya 11 bila sare. Sasa kwa game ya jana inawezekana kuna mdau kampa Valencia Double Chance yaani ashinde au asuluhu kumbe ni bora angeipa game nzima Double Chance yaani ile ya kushinda 1 or 2, naamini ma-investors tutakuwa tumeelewana.
 
Hili nalo neno
 
haya naanza mimi

mkeka wa jmos

rottherdam - bournouth , bounath win

swansea- chelsea, chelsea win

qpr- man utd, man utd win

lens - lyon , lyon win

panmafiel - porto , porto win
 
haya naanza mimi

mkeka wa jmos

rottherdam - bournouth , bounath win

swansea- chelsea, chelsea win

qpr- man utd, man utd win

lens - lyon , lyon win

panmafiel - porto , porto win

Huu mkeka naubeba kama ulivyo.....yaani na kopi na kuupesti....ama zangu au ama zake huyu kenge wa kihindi..
 
mm napenda sana kubet lakini bado cjafahamu jinsi ya kubet nitafanyaje ili niweze jamani msaada wenu ili na mm nijaribu bahati
 
haya naanza mimi

mkeka wa jmos

rottherdam - bournouth , bounath win

swansea- chelsea, chelsea win

qpr- man utd, man utd win

lens - lyon , lyon win

panmafiel - porto , porto win

Ndugu QPR points zake zote 19 za ligi kachukulia nyumbani, tutegemee mechi kali sana katika hii game..,,
 
kesho huu hapa kwanza.nimerudi.
sweden win
juventus win
atramintos win. weka laki jmamosi mambo safi.
 
mm napenda sana kubet lakini bado cjafahamu jinsi ya kubet nitafanyaje ili niweze jamani msaada wenu ili na mm nijaribu bahati

Ingia google tafuta M-bet kisha unaweza jisajili lakini hata usipojosajili utapata huduma tu....chagua timu unataka submit kisha utapata namba kumbukimbu hiyo italipia m-pesa utapata kulingana dau lako
 
Derby v Nottm Forest= Derby WIN
Rotherham v Bournemouth = Bournemouth WIN
Middlesbrough v Huddersfield = M'brough WIN
Shrewsbury v Hatlepool = Shrewsbury WIN
Barrow v Colwyn Bay = Barrow WIN
Cliftonville v Warrenpoint Town= Cliftonville WIN
Hibernian v Cowdenbeath = Hibernian WIN
Aberdeen v Dundee = Aberdeen WIN
Maccabi Tel Viv v Hapoel Akko = Maccabi Tel Aviv WIN

Tuchambue teams za kutosha wadau, hadi ikifika Jmosi tupate hata teams 6 za uhakika hapa jamvini then mtu unaweza kutengeneza na mikeka yako mingine but huu tutakaoupitisha nao unaufyatua kama ulivyo.
Kamari ni ngumu sana lazima tuunganishe NGUVU
 
haya naanza mimi

mkeka wa jmos

rottherdam - bournouth , bounath win

swansea- chelsea, chelsea win

qpr- man utd, man utd win

lens - lyon , lyon win

panmafiel - porto , porto win

Game ya QPR vs Man u inaweza kuwa tite sana, bora kuicheza magoli kuwa ni 3+ au kumcheza QPR Double Chance yaan ashinde au atoke suluhu. Huyu QPR hapotezi kirahisi akiwa home ingawa hajapata hata point 1 akiwa away kapgwa games zoooote.
 
Ukisha-login ktk account yako click kuna sehemu imeandikwa "MY ACCOUNT" then ingia "TICKETS" afu ukiangalia chini kdogo kulia utaona maneno yameandikwa "winner", "open", "looser" na mengine ambayo sionagi kama ni ya muhimu sana. Hakikisha katika hayo maneno mbele yake kuna alama ya tick, then angalia juu ya hayo maneno kuna maneno yameandikwa "search from" ........... "search up to" .......... hapo utaset tarehe ambazo hiyo ticket(s) yako uliicheza then click "search". Kama hujaelewa ni-PM
asante mkuu nimeziona
 
Back
Top Bottom