Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zakinthos - Larisa 2.65 Zakinthos Lose Jan 12, 2015 - 3:55 pm
Chania - Panachaiki 2005 3.21 Draw Jan 12, 2015 - 6:55 pm
Olympiakos Volou - Ethnikos Gazorou 1.30 Olympiakos Volou Win Jan 12, 2015 - 3:55 pm
Valenciennes - Sochaux 3.05 Draw Jan 12, 2015 - 10:25 pm
Othellos Athienou - Apollon Limassol 1.36 Othellos Athienou Lose Jan 12, 2015 - 7:55 pm
 
CREMONESE WIN 2.07 ODDS
RAYO VALCANO WIN 1.67
total odds 3.35.
 
bado kaka mikeka yangu inapumua

Wametoboa yangu yote......mikeka 3...mhindi ananichakaza khaaaa!!na kamchezo haka utadhani mgodini vile siku zinaenda hupati ila inaamini siku 1 utapata.....
 
Nasubiri ligi za pesa zianze tena ligi za Romania Bulgaria Czech Croatia Hungary na Ukraine nianze kupiga mpunga sababu hizo ligi kubwa ka England na Italy ni unpredictable kuliwa nje nje
 
Back
Top Bottom