Duh kweli leo nimeliwa na huyu mbwa ac milan
sampdoria
valladolid
fiorentina
hapa nafumba macho... la10
KABAKI VALLADOLID TU ..NKAFATE 43000 ..... bwana RAIMUNDO ..ANDYBIRD.... BIASHARA YANGU NI KUPATA 10000 KWA SIKU....BHAAAASI
KABAKI VALLADOLID TU ..NKAFATE 43000 ..... bwana RAIMUNDO ..ANDYBIRD.... BIASHARA YANGU NI KUPATA 10000 KWA SIKU....BHAAAASI
Mimi leo nataka 300$ tu zimebakia 64$. Naachana na biashar hadi jumamosi
Valladolid anakinukisha mzee!
Watu wengne mnatudanganyaga tuu unakuta hpo muhindi kakupiga
hivi ukiacha meridian ipi nyingine nzuri ya online maana wao daily mtandao unazingua
Jaman hv siri yakumpiga huyu muhindi n ipi maana mm kila niweka napigwa kila siku
Umempigaje mdosi haraka haraka hivyo????
Vipi kule iplay nataka nihamie kule,meridian wanazingua