Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wengne mnatudanganyaga tuu unakuta hpo muhindi kakupiga

SAAAAASAA WEWE EL NINO..... UTAKUWA KWANZA MGENI KWENYE HILI JAMVI...PILI.NI MUOGA TATU..UNABET KWA MAZOEA UTALIWA MPAKA UKOME..... MFANO HUO MKEKA WANGU....NIMEUPOST SAA 6.... MECHI HAZIJAANZA ..... NKASEMA FIORENTINA SAMPDORIA NA VALLADOLID NAFUMBA MACHO NAWEKA LA10 HIYO NI SAA 6 MCHANA.......KUNA MTU AKASAPOTI HIYO NI PESA......MECHI ZIMEANZA SAA10.... SASA NADANGANYA WAPI.....!!!! NIKUDANGANYE UNANIPA NINI!!! UNALIPIA!!! IMEBAKI MECHI MOJA HAAATA HAIJAANZA....MECHI YA VALLADOLID.....NKAPOST TENA IMEBAKI HIYO TU NPIGE 43000 ....NAKAFUNGWA NIMEKOSA...... TATIZO LIKO WAPI!!!!! KWA wale wakongwe wa hii thread NAONA WAMEINGIA VIRUSI HUMU....TENA WAKIONA UMEBAKIZA MECHI CHACHE WANAKUOMBEA UPIGWE.....kiroho safi ..... nimeanza kubet hata hii thread haijaanza.... SIO LAZIMA KUTOA TIP..SIO LAZIMA KUTOA USHAURI...... KILA MTU ANACHEZEA PESA YAKE.....
 
iplay wapo vizuri ukijiunga unapata $8 bonus sijawahi kusumbuliwa na mtandao wao hata mara moja.

Basketball na hockey zote zipo.

Live play kama kawaida.

Lakini! wanahitaji ID yako yenye picha na tarehe ya kuzaliwa ili ukamilishe registration. wanataka wajue kama ni over 18.

Katika kuweka hela inabidi uwatumia jamaa EMAIL ya user ID yako ya iplay, namba ya simu na kiasi ulichoingiza..,,

OK hiyo ID naiscan au inakuwaje
Vp unawekaje hela kwenye account yako via M-PESA or ?
Nakila naitoaje ?
Lkn samahani kwa usumbufu
 
iplay wapo vizuri ukijiunga unapata $8 bonus sijawahi kusumbuliwa na mtandao wao hata mara moja.

Basketball na hockey zote zipo.

Live play kama kawaida.

Lakini! wanahitaji ID yako yenye picha na tarehe ya kuzaliwa ili ukamilishe registration. wanataka wajue kama ni over 18.

Katika kuweka hela inabidi uwatumia jamaa EMAIL ya user ID yako ya iplay, namba ya simu na kiasi ulichoingiza..,,



kule nilijiunga kitambo sasa nimesahau ile email address ya kule, sijui nawezaje fungua tena with same details
 
OK hiyo ID naiscan au inakuwaje
Vp unawekaje hela kwenye account yako via M-PESA or ?
Nakila naitoaje ?
Lkn samahani kwa usumbufu

unaipiga picha unawatumia kwa email. Unaweka kwa M-pesa au Tigo Pesa. kutoa pia ni kwa m pesa au tigo pesa kulingana na line ya mtandao uliyoweka kwenye registration.
 
aman hv siri yakumpiga huyu muhindi n ipi maana mm kila niweka napigwa kila siku
Jaman nauliza hapo naombeni majibu yaliyosahihi😡
 
kesho ALGERIA WIN
SWEDEN WIN
QATAR WIN
CLUB NACIONAL WIN
JONG FC TWENTE DRAW
 
info@meridian.co.tz
Wa cheki kwa malalamiko yoyote juu ya huduma zao kisha watakupigia simu m leo nimewatumia email wakanipigia simu nikawachana hebu tufanyeni hivyo wajirekebishe
 
Wadau ipi ni online betting nzuri tofauti na hawa meridian wanasumbua sana?
Hivi mfano ukajiunga na hizi za nje kama ladbroke je ni salama? Na je inakuaje kwa swala ya kupata mkwanja.
 
Umempigaje mdosi haraka haraka hivyo????

Online, sema hela nimepata nyingi kwa game ya madrid na westham maana odds zao zilipanda sana kupata 2.5 over.
Afu na kwa arsenal vs man city total goals za 1.5 na mwisho hattrick ya messi
 
Mkuu Raimundo jana niliamka na 20 mpaka naenda kulala nilikua na kitu kama 130.. Tamaa nikatie 50 kwa vilaza flani wa tenisi, hao ndio wakanipunguzia faida. Mwendo ni wa Basketball tu sasa mpira nimewaachia wengine. Mimi nikikuta hata mechi ya Congo basketball naweka tu..

mkuu unapatikana wapi?
naomba tuungane unifundishe mkuu.
Napatikana Dar es salaam, natamani sana kujua betting ya Basketball.
 
Jana m-bet wamezingua. Nimetandika mkeka nmelipia fresh. baadae nacheki tickets zangu zinaonyesha expired.
Naogopa hata kuwatumia tena
 
Back
Top Bottom