Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wengne mnatudanganyaga tuu unakuta hpo muhindi kakupiga

SAAAAASAA WEWE EL NINO..... UTAKUWA KWANZA MGENI KWENYE HILI JAMVI...PILI.NI MUOGA TATU..UNABET KWA MAZOEA UTALIWA MPAKA UKOME..... MFANO HUO MKEKA WANGU....NIMEUPOST SAA 6.... MECHI HAZIJAANZA ..... NKASEMA FIORENTINA SAMPDORIA NA VALLADOLID NAFUMBA MACHO NAWEKA LA10 HIYO NI SAA 6 MCHANA.......KUNA MTU AKASAPOTI HIYO NI PESA......MECHI ZIMEANZA SAA10.... SASA NADANGANYA WAPI.....!!!! NIKUDANGANYE UNANIPA NINI!!! UNALIPIA!!! IMEBAKI MECHI MOJA HAAATA HAIJAANZA....MECHI YA VALLADOLID.....NKAPOST TENA IMEBAKI HIYO TU NPIGE 43000 ....NAKAFUNGWA NIMEKOSA...... TATIZO LIKO WAPI!!!!! KWA wale wakongwe wa hii thread NAONA WAMEINGIA VIRUSI HUMU....TENA WAKIONA UMEBAKIZA MECHI CHACHE WANAKUOMBEA UPIGWE.....kiroho safi ..... nimeanza kubet hata hii thread haijaanza.... SIO LAZIMA KUTOA TIP..SIO LAZIMA KUTOA USHAURI...... KILA MTU ANACHEZEA PESA YAKE.....
 

OK hiyo ID naiscan au inakuwaje
Vp unawekaje hela kwenye account yako via M-PESA or ?
Nakila naitoaje ?
Lkn samahani kwa usumbufu
 



kule nilijiunga kitambo sasa nimesahau ile email address ya kule, sijui nawezaje fungua tena with same details
 
OK hiyo ID naiscan au inakuwaje
Vp unawekaje hela kwenye account yako via M-PESA or ?
Nakila naitoaje ?
Lkn samahani kwa usumbufu

unaipiga picha unawatumia kwa email. Unaweka kwa M-pesa au Tigo Pesa. kutoa pia ni kwa m pesa au tigo pesa kulingana na line ya mtandao uliyoweka kwenye registration.
 
unaipiga picha unawatumia kwa email. Unaweka kwa M-pesa au Tigo Pesa. kutoa pia ni kwa m pesa au tigo pesa kulingana na line ya mtandao uliyoweka kwenye registration.

Shukrani sana maana meridian ni tabu sana
 
aman hv siri yakumpiga huyu muhindi n ipi maana mm kila niweka napigwa kila siku
Jaman nauliza hapo naombeni majibu yaliyosahihi😡
 
kesho ALGERIA WIN
SWEDEN WIN
QATAR WIN
CLUB NACIONAL WIN
JONG FC TWENTE DRAW
 
info@meridian.co.tz
Wa cheki kwa malalamiko yoyote juu ya huduma zao kisha watakupigia simu m leo nimewatumia email wakanipigia simu nikawachana hebu tufanyeni hivyo wajirekebishe
 
Wadau ipi ni online betting nzuri tofauti na hawa meridian wanasumbua sana?
Hivi mfano ukajiunga na hizi za nje kama ladbroke je ni salama? Na je inakuaje kwa swala ya kupata mkwanja.
 
Umempigaje mdosi haraka haraka hivyo????

Online, sema hela nimepata nyingi kwa game ya madrid na westham maana odds zao zilipanda sana kupata 2.5 over.
Afu na kwa arsenal vs man city total goals za 1.5 na mwisho hattrick ya messi
 

mkuu unapatikana wapi?
naomba tuungane unifundishe mkuu.
Napatikana Dar es salaam, natamani sana kujua betting ya Basketball.
 
Jana m-bet wamezingua. Nimetandika mkeka nmelipia fresh. baadae nacheki tickets zangu zinaonyesha expired.
Naogopa hata kuwatumia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…