Leo muhindi nimempa za uso mpaka nikamwonea huruma.. Hii mechi ya Houston Rockets naishia HT.. Tutakutana saa 12 kwa Lakers pamoja na Portland.. Hamieni Basketball jamani huko soccer muhindi atawala mpaka nywele haha
Naomba muongozo wa kucheza basket basi boss
Kuna kipindi nilikuwa naweka tips za basket humu lakini hakukuwa na watu ambao wako interested, ikabidi nitulize.Tatizo watu wa basketball ni wagumu sana kushare ujuzi. Mfano game za leo mtu anasema game za lei ni hizi na itakuwa hv au vile kulingana na uzoefu wake lkn utasikia tu leo nimempiga muhindi kwenye kikapu mbona watu wa mpira wanaweka tu hata game ambazo zipo zinachezwa on that time
nishachukua mkeka tangu asubuhi upo hivi:
Iran
bahrain
eveton
senegal
algeria
nimeweka 1000 ngoma inatema 64000
game mbili nshatusua. Iran na bahrain
M mapema kabisa ngoja nikajenge taifa mahesabu jioni
Kuna kipindi nilikuwa naweka tips za basket humu lakini hakukuwa na watu ambao wako interested, ikabidi nitulize.
Lakini kitu kingine ni kwamba mara nyingi basket inachezwa live, unaangalia upepo wa quarter moja au mbili unatia mzigo quarter au half inayofata!
Sasa hapa huwezi kupata muda wa kupost humu hiyo trend, kwa sababu inabadilika ndani ya sekunde 30 mpaka 60!Harafu kuna mtindo wa watu kuikuta thread iko page ya 400 na kuendelea, bila hata kupitia page za nyuma kuangalia nini kilijadiriwa wanaanza kulalamika.
Chukua muda wa kupitia page kadhaa kama 40 mpaka 100, hutakosa information; basket imeshajadiriwa sana humu. Tuache uvivu.
Tatizo watu wa basketball ni wagumu sana kushare ujuzi. Mfano game za leo mtu anasema game za lei ni hizi na itakuwa hv au vile kulingana na uzoefu wake lkn utasikia tu leo nimempiga muhindi kwenye kikapu mbona watu wa mpira wanaweka tu hata game ambazo zipo zinachezwa on that time
sweden
nancy
everton..... Ni misengerema sana.....
Naomba muongozo wa kucheza basket basi boss
Tatizo watu wa basketball ni wagumu sana kushare ujuzi. Mfano game za leo mtu anasema game za lei ni hizi na itakuwa hv au vile kulingana na uzoefu wake lkn utasikia tu leo nimempiga muhindi kwenye kikapu mbona watu wa mpira wanaweka tu hata game ambazo zipo zinachezwa on that time
Mkuu Madevu ukifuatilia huu uzi page kadhaa zilizopita utakuta watu wameelezea vizuri tu...
Danson sio kwamba watu wa basket ni wagumu ila basket ni mchezo wa kuconcentrate online huku pia ukifuatilia game live. Basket ina pesa kwenye U/O za quartets na pia kutabiri mshindi wa quarter..ili uweze kula ni lazima sasa ucheze online. Hakuna sehemu utakayokuta wamekwambia timu flani itashinda quarter 2 au 4.. Ni wewe mwenyewe kujiongeza na mahesabu madogomadogo. Pia hata mimi nilivutiwa kubet basket humuhumu na nilikua nalalamika watu hawaleti tips mpaka pale nilipoamua kujifunza mwenyewe ndio nilielewa kwanini hawaleti
M mapema kabisa ngoja nikajenge taifa mahesabu jioni
M mapema kabisa ngoja nikajenge taifa mahesabu jioni
Bet football na utafanikiwa kama ipo ipo tuu usiwe muoga.....tumia akili na usiweke tamaa amini bahati yako ipo njiani