kwenye multbet kwa mfano ukiweka timu 20 then ukaweka ile 10/20 INA maana ukipatia timu kumi kati ya 20 umeshinda?
na zinachaguliwa timu zipi sasa?
Umeandika email yako fresh na ume refresh inbox yako ya email
Aaah...kumbe Deo nawewe unauliza!!sikuona hiyo qn mark vizuri nkataka kushangilia sasa namfilisi muhindi...ila sidhani kama inaweza kuwa ivyo na akifanya ivyo tunamfilisi.
Aaah...kumbe Deo nawewe unauliza!!sikuona hiyo qn mark vizuri nkataka kushangilia sasa namfilisi muhindi...ila sidhani kama inaweza kuwa ivyo na akifanya ivyo tunamfilisi.
Roma
Chelsea and over 2.5
Ivory coast and over 2.5
Preston
Auxerre
Lyon
kuna atleast na multbet....unaweza jikuta unachanganya apo wenye uelewa zaid watufumbue ila kwa uelewa wangu ni kuwa
multbet ni unachagua mfano chelsea itafungwa ila costa atafunga goal
na atleast ndo mfano mkeka wako una timu kumi unachagua timu tano ambazo ata zikifungwa mkeka wako unapumua zikishinda odd zake znaesabiwa
ila sina uhakika ni uelewa wangu tu wanaoelewa zaid watatujuza
tufafanulie kuhusu multbet
umewahi jaribu hiyo multbet?
Multibet ndo kama hii mikeka watu wanayoimwaga hapa na kutuuliza zipi waitoe ipi waziache.
Multibet ni betting zaidi ya timu moja kwa bet moja
Leo nimeweka timu 17 then nikaclick pale multbet ,ikaniletea nijaze namba,nikaweka 12/17 then mpunga ukapungua.
Sikuweka sijui mfungaji au mambo zingine.
inamaanisha nini hiyo?