Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwenye multbet kwa mfano ukiweka timu 20 then ukaweka ile 10/20 INA maana ukipatia timu kumi kati ya 20 umeshinda?

na zinachaguliwa timu zipi sasa?

Aaah...kumbe Deo nawewe unauliza!!sikuona hiyo qn mark vizuri nkataka kushangilia sasa namfilisi muhindi...ila sidhani kama inaweza kuwa ivyo na akifanya ivyo tunamfilisi.
 
Aaah...kumbe Deo nawewe unauliza!!sikuona hiyo qn mark vizuri nkataka kushangilia sasa namfilisi muhindi...ila sidhani kama inaweza kuwa ivyo na akifanya ivyo tunamfilisi.

ngoja tusubiri,kuna mkeka niliweka Leo game 17 ikaja hela nyingi hivi

nikaweka multbet 9/17 ukapunngua.

sasa sijajua hiyo option.
 
kuna atleast na multbet....unaweza jikuta unachanganya apo wenye uelewa zaid watufumbue ila kwa uelewa wangu ni kuwa

multbet ni unachagua mfano chelsea itafungwa ila costa atafunga goal

na atleast ndo mfano mkeka wako una timu kumi unachagua timu tano ambazo ata zikifungwa mkeka wako unapumua zikishinda odd zake znaesabiwa

ila sina uhakika ni uelewa wangu tu wanaoelewa zaid watatujuza
 
Roma
Chelsea and over 2.5
Ivory coast and over 2.5
Preston
Auxerre
Lyon
 
kuna atleast na multbet....unaweza jikuta unachanganya apo wenye uelewa zaid watufumbue ila kwa uelewa wangu ni kuwa

multbet ni unachagua mfano chelsea itafungwa ila costa atafunga goal

na atleast ndo mfano mkeka wako una timu kumi unachagua timu tano ambazo ata zikifungwa mkeka wako unapumua zikishinda odd zake znaesabiwa

ila sina uhakika ni uelewa wangu tu wanaoelewa zaid watatujuza

umewahi jaribu hiyo multbet?
 
tufafanulie kuhusu multbet

Multibet
Ni kuchagua bet zaidi ya moja na kuziwekea stake moja.
Mfano
Timu 9 unaweza 1000 au
Kati ya hizo tisa
7 ni za win
1 ni mchezaji wa timu fulani kufunga na ile timu kushinda magoli kadhaa
1 ni timu zote kufungana na magoli yawe zaidi au pungufu ya 3.

Hivi ndio mimi ninavyofahamu multibet
 
Multibet ndo kama hii mikeka watu wanayoimwaga hapa na kutuuliza zipi waitoe ipi waziache.
Multibet ni betting zaidi ya timu moja kwa bet moja

Leo nimeweka timu 17 then nikaclick pale multbet ,ikaniletea nijaze namba,nikaweka 12/17 then mpunga ukapungua.

Sikuweka sijui mfungaji au mambo zingine.

inamaanisha nini hiyo?
 
Leo nimeweka timu 17 then nikaclick pale multbet ,ikaniletea nijaze namba,nikaweka 12/17 then mpunga ukapungua.

Sikuweka sijui mfungaji au mambo zingine.

inamaanisha nini hiyo?

Hapo sijawahi chagua hiyo njia.
Ila navyojua multibet ni bets nyingi kwa mkeka mmoja
 
Leo ivory cost atachanisha mikeka ya watu!Gervihno-Red Card
 
Leo watu wanaliwa sana... nilisema jamani hawa cote de vour.. ni goi goi.
 
Kashana tayari hawezi shinda tena hapo maan za kashatoka mmoja wapo pungufu
 
Back
Top Bottom