Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu BIKO hivi majuzi wameingia sokoni kwenye mchezo wa kubashiri soka.
Kupitia website yao.
Ajabu Leo nimeshinda tiketi wameshindwa kunilipa kabisa.
Nafikira hapa ni jukwaa la wadau mbalimbali.
Nini kifanyike?
(Bet type ilikuwa Gg& over 1.5)
Match ya Barnsley v Sheffield Wednesday
Matokeo yamekuwa 1-1.
Tiketi yangu imeandikwa Lost.
Hivi siwezi kuwafungulia malalamiko hawa jamaa ?
Majibu ya customer care wao ninayo.
Yanakera sana.
Nawaza hapa kama kuna mjua sheria tafadhali tushauriane wandugu.
 

MREJESHO TU
HT 1-1...[HASHTAG]#KABOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]

HAPO INPLAY NENDA NA HME WIN N OV 2.5 FASTA
 
Unasubirii NINI TENA MKUU ZUIA UTAPELI IFANYIR KAZI
 
IRL vs MDA
Score: 1 - 0
Min: 2
⚽ Goal!! Murphy
Ireland

Weka ov 1.5 ht
2.5 ft na HME win fasta
 
ITALY VS MAKD
INPLAY TEST

OV 0.5HT
OV 1.5 HT/2.5 FT
HME WIN NA GG KALE SUPU
 
LIE VS ISR
OV 0.5 HT
FT GG NNOV 1.5
KALE SUPU
INPLAY TEST
 
INPLAY TEST

TURK VS ICL
OV 0.5 HT
FT AWAY WIN OR DRW
N OV 1.5
 
Hv hz kampun za vichochoron
Mnazpendea nn c Bora hata m bet
Kuliko hvo vikampuni vya utapeli

Mapakampuni
Yote haya unakosa moja ya maana

Mkekabet
Premier bet
Meridian bet
M bet
Supabet
Sport pesa

Hzo ndo kampun za maana na
Wanaojielewa achana na hao
Matapeli
 

Wewe umekuwa mdau kama watatu kuja kwenye jukwaa hili ukilalamika kuwa umedhulumiwa haki hayo. Pole sana.

Inavyoonyesha hawa Biko wameingia kwenye betting bila kujipanga kwa kuwa na system imara na wachambuzi safi waliobobea kwenye soka. Swali la kujiuliza wamesajiliwa na GST? Kama wamesajiliwa ni rahisi kwenda nao kwenye sheria maana GST ipo kwa ajili ya kulinda wateja kama sisi hasa pale haki inapokuwa haijatendendeka.
 
Waliifwata na hiii wajiandae na shampeni

INTL
Georgia Vs Wales
Tip: 2 DNB

INTL
Croatia Vs Finland
Tip: UNDER 3.5

INTL
Kosovo Vs Ukraine
Tip: 2 (HT)
Hii ni bet ip
 
Haijaanza kufanya kazi bado
Inapiga kazi wakuu. Tena wana live chart ya customer care kwa wateja. Kwa hiyo ni rahisi muno kupata masaada. Sema kuna changamoto 2 ambazo nimekumbana nazo, 1. Unajiunga kwa mitandao miwili tu yaani Voda na tigo. 2. Kuna gharama wakati wa ku deposit salio ktk akaunti yako. Otherwise iko powa yaaniLeo
 
ESP vs ALB
Score: 1 - 0
Min: 16
⚽ Goal!! Rodrigo
Spain

Weka HME WIN /OV 1.5/2.5


*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +917550065211*
 
Welcome to the Duta's MLI vs CIV coverage.

MLI vs CIV
Score: 0 - 0
First Half Begins!!

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +919043002852*


INPLAY
0V 0.5 HT
FT AWAY WIN OR DRW/UND 4.5
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…