hapo kuna mikeka miwili huo ni alio mkosakosa muhindi na upo mwingine kwa juu. mimi nimejiwekea tu kama hivj ka buku katafute elfu hamsini😀😀😀😀Mbona tar ni tar 4??
Hongera ila Mimi kuzipata hizo nchi game zilipo Ndo Shidahapo kuna mikeka miwili huo ni alio mkosakosa muhindi na upo mwingine kwa juu. mimi nimejiwekea tu kama hivj ka buku katafute elfu hamsini😀😀😀😀View attachment 604552
Germany 4+
England 2+
Malta 3+
Norway 2+
Poland 3+
Armenia 2+
Romania 2+
Kwa leo ndo hvo
Tufunge na kuomba
Jumapili iwe njema
kama unatumia computer version ingia premierbet kisha bonyeza sehem iliyo amdikwa home kisha shuka shini kabisa karibu na ambako huwa unakuta timu ulizo select kabla ya kusabmit angalia kushoto utakutana na utitiri wa ligi na michezo mbalimbaliHongera ila Mimi kuzipata hizo nchi game zilipo Ndo Shida
Thanks kiongozikama unatumia computer version ingia premierbet kisha bonyeza sehem iliyo amdikwa home kisha shuka shini kabisa karibu na ambako huwa unakuta timu ulizo select kabla ya kusabmit angalia kushoto utakutana na utitiri wa ligi na michezo mbalimbaliView attachment 604555
Mkuu unashindwa hata kugoogle?Thanks kiongozi
Ila Sasa kujua Kama BBL ipo nchi gani Shida. Mimi najuaga NBA TU AMNAYO IPO USA
Sio Kama ninashindwa kufanya hivo sema nimezoea kuona timu husika na inakotoka . Ila kugoogle ni ishu ndogo tuMkuu unashindwa hata kugoogle?
View attachment 604582dua zenu wakuuu nikishinda nitawatafuta
Dhaaa hapo direct winHuyu Renate kapewa red card japo anaongoza goal moja
Si hizo team hapo chini yaan win zote[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] Share mkeka tutoe ushauri
Shera mkeka wote waachaView attachment 604584Leo nachukua mshahara wa bashite
Hahahaa kama umegongea fegi jamaa anamalizia pafu la mwisho ana kupa kipisiShera mkeka wote waacha
Kutupa vpis
Alma Juventus Fano 1-1 RenateHuyu Renate kapewa red card japo anaongoza goal moja
C ndyo hapo aiseeee badalaHahahaa kama umegongea fegi jamaa anamalizia pafu la mwisho ana kupa kipisi
F 1-2 RenateAlma Juventus Fano 1-1 Renate