Mkeka wa mwisho amebaki Egypt - direct win na Froscinone - Double Chance (X2). Ngoja niwasuburi.
Egypt anachomolewa dk ya 88, daaah ! ushachanika huu nao. Kaazi kwl kwl ...
Kashinda mkuu 2-1
Mkuu muongeze halimtoshi hiloEngland kumalamamaaakoooooo
Uzkwe mzma mzma humbwa ww
Hata ucheze na maji maji ww kiaz
Stawah kukubetia **** ww[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nakulaa ban Kwa sababu yako
Kiaz ww
Samahan ikiipa timu fast to scole na vip zisipofungana inakuaje hapoo msaadaEgypt, England, Denmark na Poland. Wote nimewapa "first team to score". Bet WON
Samahan ikiipa timu fast to scole na vip zisipofungana inakuaje hapoo msaada
germany kashafuzu so kaingiza watoto tu leoNaona German wanakata tu mauno uwanjani dah
Nilibet droo hi mechi nami nasubr matokeoNaona German wanakata tu mauno uwanjani dah
Israel atamuongezea mkuuMkuu muongeze halimtoshi hilo
Nimebet drooo sasa naona mambo ni mazur had saivEgypt walikua washaanza kuniliza hapa, namsubiri german tu na mpaka sasa anaongoza 1
Samahan ikiipa timu fast to scole na vip zisipofungana inakuaje hapoo msaada
BET WONGranada CF - CD Lugo
Under 1.5 goals HT
1.32
AS Livorno - AC Arezzo
Under 1.5 goals HT
1.31
Novara Calcio - Frosinone Calcio
Over 1.5 goals
1.38
Odds 2.39
Daaah never say never, penalty ya dk ya 90+5 ... Mohamed Salah anatia kambani. Namsuiri huyu muItaliano sasa niapate walau kifuta jasho.
Nimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.
Dhaaaaaaaa co utan hii kazNimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.