wapigie simu waambie waache ufala
Wakuu ufumbuzi wa tatizo la meridian wakuu ni vp
Ingia williamhill.com then open akaunti na ujaze details zako zote kwa usahihi(kama date of birth na jina kamili) ila baadae watahitaji copy ya kitambulisho kama passport au driving licenceoy bro jinsi ya kujiunga iyo wiliamhill inakuaje kwenye kuweka ela na kutoa???
Accumulator (1)
Ref: O/11974648
Under (206.5) @ 1.25
-
Toronto Raptors @ Philadelphia 76ers - Alternative Total Points 4
Under (193.5) @ 1.25
-
Indiana Pacers @ Miami Heat - Alternative Total Points 4
Under (206.5) @ 1.25
-
Los Angeles Lakers @ San Antonio Spurs - Alternative Total Points 4
Under (209.5) @ 1.28
-
New Orleans Pelicans @ Minnesota Timberwolves - Alternative Total Points 4
$ 10.00 Accumulator
$ 10.00
Estimated Returns:
$ 25.11
Mbona mm inapiga kazi fresh kaka. Tumia browser ile app yao naona ina matatizo. Mm mwenyewe natumia browser.
Mkuu hiyo ndio bahati nasibu ambayo sitakaa kuja kuicheza... mara nyingi ni unaumia tu
jaman wakuu kw mfano umebet timu kumi ya kwanza ikipoteza ticket inandkwa loser au open.
inaandikwa open... Zikiisha zote ndio inaandikwa looser
poa bro tupia mkeka wako basJamani eeh mimi hapa ndo mwisho chamueni na muone zipi zafaa. Hizo ni tips toka 4wdl.
Kazi kwenu wakuu kabla ya saa nane nitakuja na nyingine
Haina shida kiongozi. Nasubiri utimize ahadi yako. :ranger::ranger:Daaaah mkuu samahani sana.. ndio naona post yako sasa. Leo alfajiri pesa ilikuepo nyingi tu. Nitajitahidi za kesho tuwe pamoja mkuu
Haina shida kiongozi. Nasubiri utimize ahadi yako. :ranger::ranger:
Carpi
bologna
luton
wycombe
burton albion
....... Akiruka fensi mhindi ..nakubali kiroho safi
mkeka wangu sio bibila wala q'uran.....