Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah naona madogo leo wamekaza balaa chelsea kapigwa weekend ijayo kazi anayo kumtuliza city nae kapigwa game 2 mfululizo..,,

Jamani eeeh oneni huyu ndo amesababisha sisi tufe, jamaa kaweka against amebakiza Liver tu auawe
 
Attachments

  • 1422119845903.jpg
    1422119845903.jpg
    33.4 KB · Views: 487
Jamani eeeh oneni huyu ndo amesababisha sisi tufe, jamaa kaweka against amebakiza Liver tu auawe
ngoja niukuze huu mkeka na nimuombee huyu punter mwenzetu awapige hawa skybet, dadeki nina hasira nao hawa bookies kama nimemwagiwa maji ya betri!

attachment.php
 
leo nilikosa muda kabisa wakubet kumbe Mungu alinizuia nisioolewe na Muhinda halihii ya leo ni balaa.
 
LEO
Vitoria Giumares
Chelsea
Tottenham
Liverpool
Man city
Ivory coast
Cameroon
Watford
Dundee united
Celtic
Derby
Hamilton
Asteras tripol
Charloroi
Swansea
Southampton
Cardify

Humu leo nadhani ela inatoka wadau chambueni.....neno langu lisiwe sheria..

dah huu mkeka umetoboka tobokakama nyavu
 
Waliochomoka na Prof.Muhongo ni hawa wafuatao:
Spurs
Soton
City
Chelsea
Swansea

Leo nilikuwa nimekaa mahali nikasikia watu wanaongelea kubet,wanasema kuna mtu mmoja alibet anapata 18millions last week... I'm interested to know how it works
 
Leo nilikuwa nimekaa mahali nikasikia watu wanaongelea kubet,wanasema kuna mtu mmoja alibet anapata 18millions last week... I'm interested to know how it works

Pitia pitia hapa utaelewa tu. Ila angalia maana mara ya kwanza utapata presha ya kushuka na kupanda ingawa utazoea tu.
Mimi nishazoea sasa
 
ngoja niukuze huu mkeka na nimuombee huyu punter mwenzetu awapige hawa skybet, dadeki nina hasira nao hawa bookies kama nimemwagiwa maji ya betri!

Aaah wapi liverpool kamharibia kagoma fungwa leo.
Ila jamaa alijitahidi sana

attachment.php

Hapo akiwithdraw bet yake anapata kiasi gani?

Mkuu huyu kama ingetiki angechukua zaidi ya zile alizopata Idris wa BBA.
Milioni mia tano zaidi
 
Leo nilikuwa nimekaa mahali nikasikia watu wanaongelea kubet,wanasema kuna mtu mmoja alibet anapata 18millions last week... I'm interested to know how it works

Yeah it is true mkuu kuna mshkaji wangu anayo picha ya huo mkeka uliotoa 18m. Jamaa alitupia buku 20 ukaleta mavuno Hayo. Ngoja nitamwambie anirushie niulete humu. So usikate tamaa one day utampiga muhindi
 
Back
Top Bottom