Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Lyon
Juventus
Ajax
Kwenye Ajax fanya GG! Au Double chansi ya 1x, otherwise Lyon unaweza kumpa cap ya -1.5!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lyon
Juventus
Ajax
wazee wa "one day ntampiga muhindi/mzungu" salama humu? vp kuna mdau yeyote ashampasua muhind au mzungu?? mi bado nko likizo ndef isiyo na malipo😎😎😎
Kwa mfano m~bet hua wanatuma kwa njia ya mpesa kwa kupitia namba uliolipia nayo. Mfano kama leo ukishinda wanatakutumia pesa yako kesho kati ya saa nne asubui hadi saa kumi jion.
kama ni online tumia www.meridian.co.tz ina iption nyingi za kubet kuliko m-bet
Thx sana, ngoja niingie nione,
Ni meridianbet.co.tz!
Shukrani sana
Raimundo
Tatizo sio letu bali ni timu kama Chelsea
Man city tuna wadhamini tukijua ni timu kubwa zina wachezaji bei ghali hivyo watashinda ila ndo wanaharibu tena mara mia saba sabini.
Ipo siku tutapatia wote na mhindi atalia na yeye. Ngoja tu anywe kahawa kwa hizi siku chache next week lazima tumle na sisi.
Haiwezekani ukampiga mtu kila siku ukidhania yeye hajifui, ipo siku atakuchapa kama mtoto
Lyon
Juventus
Ajax
Leo kwenye m kikapu nataka ni jaribu hii njia. Nataka niangalie game kumi za nyuma kwa kila team na idadi ya vikapu kisha nitafute average hiyo ndiyo nitakayo tumia kuweka over na under kwa game za leo
Angalizo: nipo kwenye majaribio
Huawei y300 mkuu..inaniambia not supported
Kuna formula nataka kuja nayo hapa, ya kucheza game 1 daily na mtaji fixed!
Nimechagua site moja ya => Darko, jamaa anafanyaga uchambuzi daily na kuweka predictions zake, nimeona yuko 70-80%; kati ya 30 za mwezi anapatia 20 anakosa 10.
Hivyo basi nitakuwa natambaa naye kila siku kwa mtaji wa 50,000 (odd ni 1.6 - 2.0 kwa tips za bure), mwisho wa mwezi nitatoa mrejesho wa faida na hasara, assuming kwamba ataendelea kuwa na 70-80% accuracy, faida inaenda kuwa 600,000 kwa mwezi.
Ni muda wa kuwa na nidhamu ya hii biashara, mambo ya mikeka naachana nayo rasmi.
Nitaongeza mtaji kadri nitakavyokuwa napatia hizi za mwanzo na kuendelea kuikubali accuracy ya jamaa, wakati huo huo naendelea kutafuta the best analysts.
NOTE: Nitatumia zile tips anazowekaga za bure!
nmeingia iyo web yake kuona ila nmeona kuna kulipia uwe unazituma na uku na wengne wazipate izo tips za bure