Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
Nipe maelekezo ikoje hii mkuu!? Ya kusubiri mpaka msako uanze ndio utupie mzigo na inapatikana sites gani? Na ni online au physically?
mkuu online nacheza meridian....www.meridianbet.co.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe maelekezo ikoje hii mkuu!? Ya kusubiri mpaka msako uanze ndio utupie mzigo na inapatikana sites gani? Na ni online au physically?
Mkuu namba yao Sio 170066?
Pia asitumie browser ya Opera mini.
Wadau tangu mwaka 2015 uanze ndo nimewin jana manake dah mpaka nilitaka kukata tamaa niliweka kwa M-Bet - Tanzania Sportsbook
Lyon win 1.30
Juventus win 1.12
Sporting cp win 1.15
Espanyol win 1.67
Gent win 1.30
St.Etienne Lose 2.02
Valencia win 2.15
dau 1500
win 23,681.0049
Sio mbaya.
Umempiga aisee duuh!!
Kaka hawa m bet yaani washanichukulia pesa kibao sana na mimi kuanzia sasa hivi nabet kwa akili sana nimechoka m
Mkuu umenifurahisha sana.hongera ungetupia 10 hapo daah!! Mpangilio mzuri ulio nao naku inbox soon
Wadau tangu mwaka 2015 uanze ndo nimewin jana manake dah mpaka nilitaka kukata tamaa niliweka kwa M-Bet - Tanzania Sportsbook
Lyon win 1.30
Juventus win 1.12
Sporting cp win 1.15
Espanyol win 1.67
Gent win 1.30
St.Etienne Lose 2.02
Valencia win 2.15
dau 1500
win 23,681.0049
Sio mbaya.
ungeongezea 0 kwenye stake muhind angepiga yowee kwa jina lako
Huku bongo sky bet ikoje jamani maana iplay8casino wako poa kweli tujuzane na skybet jamani
kuna mtu katumia meridian week hii,na kupitia browser IPI?