Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Virtual Ya Princessbet iko poa sana ina league ya Italy na Uingereza si kufungana huko
Pia ina mashindano mengine kama mbio za mbwa, mashindano ya pikipiki nk
 
Virtual Ya Princessbet iko poa sana ina league ya Italy na Uingereza si kufungana huko
Pia ina mashindano mengine kama mbio za mbwa, mashindano ya pikipiki nk
Inachezwa dk ngap
 
Hata mimi ni mteja wa 1xbet wapo vizuri natumia Visa card (Banc ABC) kuwithdraw na kudeposite ....Nawashauri msitumie Mobile maney i.e Tigopesa m pesa n.k kufanya muamala itachelewa/usiipate kabisa nirijaribu kufanya hvyo ili kukwepa gharama za kutransfer bank to Tigo pesa hadi leo sijui pesa yangu imeenda wap?
 
Visa Card (ABC) ni ya dollar au tsh?
 
namba ya kampuni na reference namba ni ipi?
 
Spain: Segunda Division
19:00 Real Valladolid v Alcorcon AD
Real Valladolid Over 1.5 Goals
0dd 1.86
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…