Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama mbwai na iwe mbwai ... God bless huu utabiri wangu na wote watakao ufuata. Watch me roar on this one !

upload_2017-10-12_11-52-1.png
 
Hahahaha, we jamaa bana ... eti "mzama chumvini" ... hahahahah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haha haa haa aiseeee
Humu unajikuta unacheka mwenyewe
Kuna mwingine anajiita uzaz wa mpango
 
Natafuta mtaji wa mechi za kesho!...sina hakika kama hapa nipo salama!.....yule jini chana mikeka sijuhi amenitembelea hapa!????

upload_2017-10-12_12-26-15.png

upload_2017-10-12_12-26-15.png
 
daah hii kazi inataka moyo vinginevyo jiandae ......................................
Aiseee acha tu mkuu tang
Nmejua hapa Kwa Hawa mashetan
Ndo nlikaribisha umaskin kabsaaaa
Cna hata ham

Sku nkila nasema kutakucha saa
Ngap niamkie hapo
 
nimeripuka mazima.......ingawa kwa pesa ndogo....hakuna jisni wakati mwingine ni lazima kufanya hivi!
upload_2017-10-12_13-14-56.png
upload_2017-10-12_13-14-56.png
 
Back
Top Bottom