okaoni
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 1,471
- 1,308
Fomular ni rahisi sana , chukua wanao ukawachezeshe kwa majina ya hizo timu halafu wewe utakuwa refa na matokeo mtayapanga wenyewe. Tofauti na hapa hakuna mtu yeyote mwenye uzezo wa kujua 100% majibu ya mechi kwa watu wanaocheza kiushindani ambapo kila moja anajiwinda asifungwe na apate ushindiJamani Anaye jua Formula Ya kujua nani atashinda katika Mechi yoyote Ile atupe utundu hap