bandwidth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 415
- 312
1xbet ....but haipo hapa bongo....sema dunia ni kijiji!.........! ni sawa na 365iko vizuri, kampuni gani hii mkuu
1xbet ....but haipo hapa bongo....sema dunia ni kijiji!.........! ni sawa na 365iko vizuri, kampuni gani hii mkuu
Mkuu kama haipo bongo mbona kuna option ya kudeposit kwa kutumia mpesa,na tigopesa?1xbet ....but haipo hapa bongo....sema dunia ni kijiji!.........! ni sawa na 365
ndio maana nimesema kuwa dunia ni kijiji!......hii kampuni ipo urusi...wao wanafanya biashara zaidi online.....Yes! unaweza ku-depost kwa tigo au mpesa au airtel...but mimi sijawahi jaribu kwa mfumo huo kwani mfumo wa simu za mkononi wameanza muda si mrefu........ mimi huwa natumia neteller toka kujiunga 2015...lakini kwa simu siwahi kujiunga.....kama unajiunga kwa ku-depost kwa simu kuweni makini isije pesa ku-delay maana sina hakika kama pesa inaingia haraka ukiwithdrawal au kudepost!Mkuu kama haipo bongo mbona kuna option ya kudeposit kwa kutumia mpesa,na tigopesa?
nimekusoma mkuu ...ndio maana nimesema kuwa dunia ni kijiji!......hii kampuni ipo urusi...wao wanafanya biashara zaidi online.....Yes! unaweza ku-depost kwa tigo au mpesa au airtel...but mimi sijawahi jaribu kwa mfumo huo kwani mfumo wa simu za mkononi wameanza muda si mrefu........ mimi huwa natumia neteller toka kujiunga 2015...lakini kwa simu siwahi kujiunga.....kama unajiunga kwa ku-depost kwa simu kuweni makini isije pesa ku-delay maana sina hakika kama pesa inaingia haraka ukiwithdrawal au kudepost!
Aiseee huko 1xbet kuna optionWazee kuna option nimeiona biko na pia nimeiona 1xbet ya over 1, ya 2 na 3,hizi zinamaanisha nini?
kujiunga mbona simple tu,sema ndo hivo makampuni hata hapa bongo bado ni mengi tu na yanatoa service fasta,kwahiyo amna haja sana ya kujiunga na haya ya mbali...Aiseee huko 1xbet kuna option
Ipo huko sema wanazngua kujiunga
Me natumia code ya 254 Kenyakujiunga mbona simple tu,sema ndo hivo makampuni hata hapa bongo bado ni mengi tu na yanatoa service fasta,kwahiyo amna haja sana ya kujiunga na haya ya mbali...
K brpdidy ntumie hii app o link pm!