Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

4496b8de06c91668bdbb71de41cab5ce.jpg
8f81d773539bb6f5c2de221ed468d7c9.jpg
wazee hii hesabu imekaaje! Au kunawakuchomoa hapo.
Inahtaj roho ngumu hap kwa hii pas ndefu ila kwa Liver kwann ucweke Gg
 
8cf9f0f4a4c5ce17da9e4131e0cfc3d1.jpg

Kila la kheri kwa atakaye tubuthu hii ZANA weka tu 1000 kama unaogopa natafuta pesa niweke na mimi.
 
Mkuu hii huwa inamaanisha goli lisifungwe within dk 15 au goli la kwanza likifungwa longine lifungwe baada ya dk kumi na tano..msaada pliz
Nimebet Goli lisipatikane kwenye robo saa toka mpira uanze likipatika kwenye dakika ya 16 hadi sitini umekula mpunga
 
4496b8de06c91668bdbb71de41cab5ce.jpg
8f81d773539bb6f5c2de221ed468d7c9.jpg
wazee hii hesabu imekaaje! Au kunawakuchomoa hapo.
Mkuu, odds za hao jamaa nakushauri zitoe tu mana ni kiduchu sana haf moja ikizingua ndo roho inauma zaidi.
Spurs
Bayern
PSG
Toa hao, tafuta wengine wa kureplace. Kingine gemu ya caen vs Angers, home team hajawai kushinda anapokutana na Angers katika gemu karibia tano za mwisho, iwe home au away. Ingawa kimsimamo caen anamzidi angers point kadhaa. Tafta gem nyingine hii achana nayo. Kwingine Kote nahisi kuko fresh zaidi.
 
Poa jo
 
Back
Top Bottom