mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
Mkuu Tusaidie Hapa!!!150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.
Kila ka kheri Mkuu
Mkuu Tusaidie Hapa!!!150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.
Kila ka kheri Mkuu
Hii Option Ya 15 Min Unaipata Wapi150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.
Kila ka kheri Mkuu
Nimebet Goli lisipatikane kwenye robo saa toka mpira uanze likipatika kwenye dakika ya 16 hadi sitini umekula mpunga
Yaani wewe jamaa ni mjinga sijapata kuona, inaonesha ni jinsi gani ubongo wako unauwezo mdogo wa kufikiri, kwanza hujui kuandika, nakushauri rudi darasani ukajifunze kuandika vizuri.Hiyo ndio ajira zembe ya vijana ya awamu hii.........
Bet LostMkuu lisipopatikana mpaka dk ya 90? Unakuwa hujapata mpunga ama?
Bao lisipopatikana wewe unakula mpunga yaani mchezo wako ni dakika 15 tu hizo dakika nyingine hata wafungane magoli 30 au wasifungane sio juu yako ni shauri ya Princess na watu wao.Mkuu lisipopatikana mpaka dk ya 90? Unakuwa hujapata mpunga ama?
Bet Lost
Watu huwa hamweleweki wakitoa ndogo shida wakitoa nyingi shida unataka odds ngapi labda nikutafutiembona odds nying mno [emoji13] [emoji13]
Bao lisipopatikana wewe unakula mpunga yaani mchezo wako ni dakika 15 tu hizo dakika nyingine hata wafungane magoli 30 au wasifungane sio juu yako ni shauri ya Princess na watu wao.
Nenda chini kabisaMkuu Mbona Sijaiona Hii Option Ya Dakika 15 Kwenye App Yao
Asante MkuuNenda chini kabisa
Wazee princessbet kuna shida gani? Au ni kwangu tu app yao inagoma kufunguka
OVER 1.5 Kipindi cha kwanza yapatikane mabao kuanzia mawili/Chini ya mawili.Hii kitu inaitwa (over under 1.5 first half) na (2.5) inatafsiri gani sijawahi ielewa hii
sijakwambia nahitaj odds zozote zile, nimeshangaa tu kwann odds nying namna hiyoWatu huwa hamweleweki wakitoa ndogo shida wakitoa nyingi shida unataka odds ngapi labda nikutafutie
Sawa Weka mpunga Mungu atakuwa nasi.sijakwambia nahitaj odds zozote zile, nimeshangaa tu kwann odds nying namna hiyo
Asee nipe process za kuweka pesa gsbOVER 1.5 Kipindi cha kwanza yapatikane mabao kuanzia mawili/Chini ya mawili.
Over 2.5 yapatikane mabao kuanzia matatu/au yapungue matatu.
Mpwaa sorry nimeitoa kabisaa nanyie dlt hiipost maana bado zinaonekana kwenuMpwaa Pdidy, sio sawa kufanya hivi, ungeziba sura yake