Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HIYO 15 1st goal interval ina maana gani sasa? Maana ya interval it means kuwe na utofauti wa goal mpaka goal jingine...i.e goal la kwanza likipatikana dkk ya 16 basi jingine likiingia dkk ya 30 umeliwa interval 14min bt likiingia dkk ya 32 umekula interval dkk 16 ama.....
Hapana, haipo hivyo, 1st goal interval 15 minutes, inadeal tu na interval ya muda wa goli la kwanza, na sio magoli mengine. Unachotakiwa Kufanya nikuchagua interval ya muda unaona ww goli la kwanza litaingia mf. 1-15, 16-30, etc
 
4496b8de06c91668bdbb71de41cab5ce.jpg
8f81d773539bb6f5c2de221ed468d7c9.jpg
wazee hii hesabu imekaaje! Au kunawakuchomoa hapo.
omba Mungu tu
 
hawa MERIDIAN Bet wahuni sana nimeweka hela week hawaja update sioni kwenye account kila siku wanasema nisuburi 24hrs au 72 hrs. elf 20 ishaondoka hivyoo. sijui ni shetani gani aliniambia niwajaribu. bora ningebaki na PRINCESS BET kuweka hela dk 1 kutoa dk 1-5.
 
Back
Top Bottom