MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,279
- 3,026
Sevile weka double chance 2xomba Mungu tu
Sevile weka double chance 2xomba Mungu tu
Ndugu yangu humu sio pa kuomba Mkeka tu, Though Tuna Wataalam Kadhaa hapa Waonatoa Madini but Lazima na Wewe Utumie Kichwa Chako Bro Sio Unaigilizia Kama Mtihihani Wa Darasa la 4 Na ili usije kulaumu Watu Ukikamuliwa na Khanjibai. Tahadhali: Khanji analoga mechi za mwisho Mwisho zinachana mkeka so kama Una presha bora Ukaushe(Jokes[emoji1] [emoji1] [emoji1] ) Na kingine, Unatakiwa Uwe na Roho ya Paka Unaweza Ukapigwa Wiki nzima Unakula za Uso ata uweke Mechi moja[emoji123] Unakula za Mdomo Tu But Usikate Tamaa, Ndio Unakomaa. Welcome 2 the RingNaumbeni mkeka na nimi nimle muhindi
Jamani kuna mtu aliona hii ZANA inaanza kufanya Kazi Mwilini kwa Kanji![]()
Samahanini wakuu kuna mpuuzi mmoja hapo juu kaleta utako wake kwenye jukwaa la Wapambanaji.
Naomba mtu atumie hiyo Zana leo.
Kila la kheri kwa atakaye tubuthu
Mkuu Cheza Hizo zilizobakia kama una imani lakiniguinea na germany weka under mzee. under 17 hao wote wako poa sana. labda gg pia ila kwa 95%
Mwendo wa double chance tuKesho ndio siku inayoongoza kwa watu kuliwa cha muhm usichanganye timu kubwa zote kwenye mkeka mmoja maana kuna moja huaga inaharibu na kwakua timu zipo nying usirudie timu kwenye mikeka yote kila mkeka uwe na timu zake.
BET WOOON kwa WaliofataMchango wangu wa Kwanza leo
Al Fateh SC - Al Qadisiyah
Yes
1.66
Al Ittihad - Ohud Medina
Over 2.5 goals
1.66
odds: 2.76
Komaa mkuu hadi mwisho.Beskitas MUNGU anakuona, unataka kusepa na shuka langu la wiki nzima
Ngoja tuone kama hatachana shuka langu. Angeiga walau hata mfano wa Argentina na Portugal ningemuelewaKomaa mkuu hadi mwisho.