Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Burnely unamwona kama Lipuli mkuu?mzee unapenda pasi ndefu sana
Pambana na Hali yako...Hiyo ndio ajira zembe ya vijana ya awamu hii.........
tatizo utakuwa unaliwa hizo buku mara kibao. bora ucheze elf 5 weka team 2-8 hizo pass ndefu ila low risk. ila 1000 mpaka m1 hukoWeka maboresho kila mtu anapenda kirefu! Nani atoke hapo
Inahtaj roho ngumu hap kwa hii pas ndefu ila kwa Liver kwann ucweke Ggwazee hii hesabu imekaaje! Au kunawakuchomoa hapo.
Mkuu hii huwa inamaanisha goli lisifungwe within dk 15 au goli la kwanza likifungwa longine lifungwe baada ya dk kumi na tano..msaada pliz
Kila la kheri kwa atakaye tubuthu hii ZANA weka tu 1000 kama unaogopa natafuta pesa niweke na mimi.
Goli lisipatikane ndani ya dakika hizo 15Mkuu hii huwa inamaanisha goli lisifungwe within dk 15 au goli la kwanza likifungwa longine lifungwe baada ya dk kumi na tano..msaada pliz
Asante mkuuGoli lisipatikane ndani ya dakika hizo 15
Nimebet Goli lisipatikane kwenye robo saa toka mpira uanze likipatika kwenye dakika ya 16 hadi sitini umekula mpungaMkuu hii huwa inamaanisha goli lisifungwe within dk 15 au goli la kwanza likifungwa longine lifungwe baada ya dk kumi na tano..msaada pliz
Mkuu, odds za hao jamaa nakushauri zitoe tu mana ni kiduchu sana haf moja ikizingua ndo roho inauma zaidi.wazee hii hesabu imekaaje! Au kunawakuchomoa hapo.
Mkuu Kampuni Gani Hii Au App Gan
Kila la kheri kwa atakaye tubuthu hii ZANA weka tu 1000 kama unaogopa natafuta pesa niweke na mimi.
Kila la kheri kwa atakaye tubuthu hii ZANA weka tu 1000 kama unaogopa natafuta pesa niweke na mimi.
Princess betMkuu Kampuni Gani Hii Au App Gan
Princess bet
mbona odds nying mno [emoji13] [emoji13]Nimebet Goli lisipatikane kwenye robo saa toka mpira uanze likipatika kwenye dakika ya 16 hadi sitini umekula mpunga
150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.Unadeposit vp pesa huku?
Mkuu Mbona Sijaiona Hii Option Ya Dakika 15 Kwenye App Yao150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.
Kila ka kheri Mkuu
Ila sio mechi zote ina hii option nafikiri wanachambua mechi na mechi...Princess bet
150..00..chagua 4..namba ya kampuni...262222...kisha weka kiasi..... Namba yako ya simu ndiyo namba ga kumbukumbu.
Kila ka kheri Mkuu
Poa joMkuu, odds za hao jamaa nakushauri zitoe tu mana ni kiduchu sana haf moja ikizingua ndo roho inauma zaidi.
Spurs
Bayern
PSG
Toa hao, tafuta wengine wa kureplace. Kingine gemu ya caen vs Angers, home team hajawai kushinda anapokutana na Angers katika gemu karibia tano za mwisho, iwe home au away. Ingawa kimsimamo caen anamzidi angers point kadhaa. Tafta gem nyingine hii achana nayo. Kwingine Kote nahisi kuko fresh zaidi.