Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
lazio wapo ugenini tatizo ila nitawapa goli 1+
Unamaanisa nini pale utakapo weka -1 au +1?
Apollon win
best way to bet sasa hivi ni kucheza magoli,ushindi sio guarrantee kwa timu yoyote.mpira umebadilika sanaI hope wote wazima wadau wenzangu. Langu moja tu, mechi za leo zimekaa kiutata sana, sasa tuambiane, ipi bora, kuweka first half draw, kuchagua mechi ngum na kutia full time draw ama kucheza normal kama kawaida ambapo tunapigwaga tu daily.
best way to bet sasa hivi ni kucheza magoli,ushindi sio guarrantee kwa timu yoyote.mpira umebadilika sana
Nataka game 4 za 45mns. Please help
shuhudia maajabu kwa kustake ata 1000 af mjaze na mk dons