Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila hapa kwenye cap nataka darasa zaid inamana kushinda sio lazima iwe interval ya mbili au kutoa suluhu inatakiwa zilingane kwa interval ya magoli ya ngapi naomba maelezo kwa kina hapo na je zipo cap za aina ngapi
 
Naomba msaada eti kwenye primier betting Handicap odd
1(4) ina maana timu mwenyeji ishinde goli zaidi ya 1 yaani kuanzia magoli mawili kuendelea sindio?

2(5)ina maana timu mgeni ashinde pia goli zaidi ya 1 yaani kuanzia magoli mawili kuendelea

Na je X(6) ina maanisha nini??
 
Ila hapa kwenye cap nataka darasa zaid inamana kushinda sio lazima iwe interval ya mbili au kutoa suluhu inatakiwa zilingane kwa interval ya magoli ya ngapi naomba maelezo kwa kina hapo na je zipo cap za aina ngapi
sindano ya nyuki, njoo ufanye ufafanuzi kwa ndugu yangu Ommy50. Handcap ni ushindi wa aina gani? (+1) inapunguza ushindi kwa aliyepata ushindi?
 
Last edited by a moderator:
Ila hapa kwenye cap nataka darasa zaid inamana kushinda sio lazima iwe interval ya mbili au kutoa suluhu inatakiwa zilingane kwa interval ya magoli ya ngapi naomba maelezo kwa kina hapo na je zipo cap za aina ngapi

Pitia post number #16 utaelewa.
 
Fanya ufafanuzi wa halftime/fulltime, kwenye betting. Mfano unakuta 1/1, ×/1, 1/2, ×/2, 2/2 kwa kweli sielewi sana. Hapa ueleze ushindi kinamba mfano tena,

1- mwenyeji anaongoza mwanzo mwisho
2-
3-
4-

1/1 home team itaongoza vipindi vyote,1/2 home team itaongoza first half then away team itaongoza second half,X/2 half time draw then second half away team itaongoza malizia kwa hizo zilizobaki sasa.
 
Sasa huo ufafanuz wa cap haujajitosheleza mkuu maana swali langu ni interval ya magol mangapi au ata kama ikiwa 1 vs 0 huyu mwenye +1 atawekewa moja na hapo itakuwa n draw
 
Naomba kufundishwa kucheza m.bet kwa voda *149*19# yaani mbinu na tahadhari ni..kwa kawaida sio handcup
 
Naona wadau leo maumivu bayern kawaua wengi wolfsbug nae
 
msaada katika premier betting mega mix ile 18 inamaanisha nini
 
Ushindi mdogo kwa timu zote mbili
 
Hapa nshampiga mhindi nashukuru kwa timu mbili kutochezaa nipate hata ya vocha daaah ningejua ningetia elfu kumii
 
Attachments

  • 1423000405651.jpg
    45.8 KB · Views: 265
Hapa nasubiri timu moja nipate hela ya supu
 
Attachments

  • 1423000793481.jpg
    39.9 KB · Views: 223
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…