TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Mkuu lakini ni kama vile wana mechi chache na ni kwa wakati fulani fulani mf saa saba mchana utakuta meremidian wana mechi 20 live ila premiee wanakuambia no live event avalable. Au juna version tofauti tofauti?PREMIERBET KWANGU WATABAKIA KUWA KAMPUNI BORA YA KUBETISHA TZ
kwenye live/inplays ndio hua wana zingua kwa kuweka ops chache ila kuhusu ubora kuanziaMkuu lakini ni kama vile wana mechi chache na ni kwa wakati fulani fulani mf saa saba mchana utakuta meremidian wana mechi 20 live ila premiee wanakuambia no live event avalable. Au juna version tofauti tofauti?
Ni kweli kwenye live wanaweka mechi chache kuliko meridian ila wanaweka mechi zote muhimu,meridian kwenye live event wanaweka hata vitimu vidog vidogo..ila premier betting ndo babalao system ipo stable mpaka raha na odds za kushibaMkuu lakini ni kama vile wana mechi chache na ni kwa wakati fulani fulani mf saa saba mchana utakuta meremidian wana mechi 20 live ila premiee wanakuambia no live event avalable. Au juna version tofauti tofauti?
Bila kusahau kuwa NA kodi wanakulipia wao.Ni kweli kwenye live wanaweka mechi chache kuliko meridian ila wanaweka mechi zote muhimu,meridian kwenye live event wanaweka hata vitimu vidog vidogo..ila premier betting ndo babalao system ipo stable mpaka raha na odds za kushiba
AminaKwa wale ambao leo tumetega mabomu MUNGU awe nasi na kila mmoja apate kulingana na hitaji lake.
Amen
weka mkeka hutojutiaHiyo july 20 inanihusu mimi.
AmenKwa wale ambao leo tumetega mabomu MUNGU awe nasi na kila mmoja apate kulingana na hitaji lake.
Amen
AmenKwa wale ambao leo tumetega mabomu MUNGU awe nasi na kila mmoja apate kulingana na hitaji lake.
Amen
Ukifanikiwa uwe unatupia humu pia02.11.2017
Uefa Europa League
Lazio – Nice 1 (1,55)
Uefa Europa League
Partizan – Skenderbeu 1 (1,55)
Uefa Europa League
Arsenal – Crvena Zvezda 1 (1,40)
02.11.2017
UEFA Europa League
HNK Rijeka - FK Austria Vienna
Over(2.5)1.52
UEFA Europa League
FC Viktoria Plzen - FC Lugano
Over(2.5)1.53
TOTAL ODDS: 2.33 natest mitambo ya application Fulani hivi
kanji alitusahaulisha mkuuWaloweka wa dak 10 mtugawie na sie sasa