Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[11/2, 16:17] ‪+234 701 830 3687‬: League : Israel
Match : Kfar Saba vs Tel Aviv
Time : 2000
Tip : HT X
Odd : 2.25
[11/2, 16:18] ‪+234 701 830 3687‬: League : Kuwait
Match : Al Arabi vs Al Nasr
Time : 2000
Tip : HT X
Odd : 2.25
[11/2, 16:18] ‪+234 701 830 3687‬: League : UEL
Match : Maccabi Tel Aviv vs Astana
Time : 2100
Tip : HT X
Odd : 2.25
 
Aisee sijawahi poteza mikeka kama Leo! 3 yote naona inapotezwa kwa wakati mmoja duh
Hii option ya 2+ Leo aaargrrrr
 
ODDS 8 HIZI HAPA

NHL
Los Angeles Kings - Toronto Maple
Leafs
Los Angeles Kings
2.13

NHL
Tampa Bay Lightning - New York
Rangers
Tampa Bay Lightning
1.99

NHL
St. Louis Blues - Philadelphia Flyers
ST. Louis Blues
1.98
Koncho ngoja twende sawa hapa.
 
ODDS 8 HIZI HAPA

NHL
Los Angeles Kings - Toronto Maple
Leafs
Los Angeles Kings
2.13

NHL
Tampa Bay Lightning - New York
Rangers
Tampa Bay Lightning
1.99

NHL
St. Louis Blues - Philadelphia Flyers
ST. Louis Blues
1.98

Ngoja nikufate kwenye Ice Hockey si kwa kupigwa na kanji mapema hivi..! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jamani ichi kipigo cha leo uzalendo umenishinda nimelia kwa nguvu mpaka majirani wamekuja wananuliza vipu nimewajibu kuna msiba wa muhindi[emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]

Pole sanaaaa mkuu,I feel your pain mwaka janaa nlipoteza 1M ya kubetia na kukosa 7M ya kumpiga kanji kwa ungese wa man city vs stock kutoa sare,hii game mpk Leo huwa nairudia kuiangalia,nakumbuka hii siku sikwenda job for two days kwa uchungu mana nlikosa vitz kingese kwa upuuzi wa aguero na sterling.
 
Yani uliweka stake 1M, nakuamkia shikamoo kaka mkubwa
 
Yani uliweka stake 1M, nakuamkia shikamoo kaka mkubwa

Niliweka kwa kuwa nilikuwa motivated na jamaa angu ofisini mana yy wiki iliyopita aliweka 2M kwny game mbili nakumbuka ni Barcelona Sc(ile ya Ecuador) na Chelsea,Daah jamaa akapiga 2M nyingine bhn,si Ndo nikaiga kunya kwa tembo Ila mm mkeka wangu ulikuwa mzuri mana ulikuwa Wa wiki nzima na iyo game ndo ilikuwa imebaki afu ilichezwa j3,so mi mpk jpili usiku nshakuwa na uhakika na wa 7m,yan iyo siku nlisemaga kanjii ni mchawi na aya mambo yana element hizo daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…