mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
ni vizuri wakati mwengine tukaangalia vikosimnaombetia arsenal kuna muhimu cha kuzingatia, kumbuka ana game na man city jumapili, na ana point 9, mnaweza kuona kikosi cha maajabukimepangwa na kimeenda kushinda 1-0, au 0-0. kwanza iyo game first half itakua ni under 1.5