Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanji si mtu mzuri..
Jana nilibaki kubet kwa macho maana kila nilipokua nataka kuweka mkeka moyo ulikua unadunda vibaya sana, ikabidi niache nisije kufa kwa pressure..
 
Wadau Over 1.5 hizi nani atazingua hapo
IMG_20171103_093453.jpg

IMG_20171103_093423.jpg
 
Nataka kuweka long list premierbet kwa kutumia simu ila mkeka nataka niulipie kesho naweza vipi kuhifadhi huo mkeka hadi kesho bila kupotea?

Msaada wadau
 
Jamani kwani Working hours kwa PREMIER BET ni zipi? maana nimewithdraw jana saa 4 usiku mpaka saizi kimya tu.
 
Screenshot_2017-11-03-10-21-07.png
Screenshot_2017-11-03-10-19-53.png

Nyie wa football endeleeni kulia na kanji wadau me huko nimeshakimbiaga siku nyingi mno... Tangu mwezi wa pili baada ya kupigwa kama laki ndani ya siku 4 nipo huku karibuni sana...[emoji776] [emoji774] [emoji775] [emoji772] [emoji12] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Natembea najiamini hapa acheni tu.. kesho alfajiri nba game 12 za uhakika kama 3 au 4 hvi
 
N.B stake kubwa ndio ujanja sio unaweka jero au buku au buku tano game unaweka 4+ kumpiga kanji kwa style hiyo nadra sana..
 
Kwenye basket game 1 tu ushapata hela ya chumba kwa mwezi 1.. Me nasoma nimetafuta ada nimepata huyooooo na sasa hivi nataka ninunue piki piki tu hapa ya kufanyia harakati....
 
Kwenye basket game 1 tu ushapata hela ya chumba kwa mwezi 1.. Me nasoma nimetafuta ada nimepata huyooooo na sasa hivi nataka ninunue piki piki tu hapa ya kufanyia harakati....
Ngoja na mie nifanye research kwenye KIKAPU nihamie huko
 
Odds 28 za Direct Win kwa Only home team. Jaribu bahati yako
 

Attachments

  • IMG_20171103_104215_349.jpg
    IMG_20171103_104215_349.jpg
    59.6 KB · Views: 52
Nataka kuweka long list premierbet kwa kutumia simu ila mkeka nataka niulipie kesho naweza vipi kuhifadhi huo mkeka hadi kesho bila kupotea?

Msaada wadau
Hapo itabidi ubet in shop unapata code namba kesho utaenda kibandani unawapa code unaulipia unachukua mkeka wako
 
20171103_105528.png
basket hiyo wadau,mdogo mdogo ndio mwendo.tia 10000 upate buku sita ya lunch nzuri kabisa
 
Back
Top Bottom