Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,322
Sure, wachina wakiamua huwa ni shidaa ... I hope leo watalegeza kdg, maana wanaendaga hadi 260pts.
Sure, halafu jana nilijisahau, game ya GSW nilikuwa nitoe tip ya blow-out, maana walipewa -6.5 handicap.
Kitu kimoja kwa GSWs, anapocheza na contender tegemea blow-out au mpe handicap quarter ya 3 ikiwa kazidiwa hadi halftime.