Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 623208 basket hiyo wadau,mdogo mdogo ndio mwendo.tia 10000 upate buku sita ya lunch nzuri kabisa
Mkuu naona hyo option siipat kwa mkekabet ipo under na over 180
5a19f3a8ce931a6794d50d96203f7795.jpg
 
Sasa hapo kanji alivyokua firauni ubakuta sydney ana draw albirex niigiata anafunga na surabaya anapigwa pia... yani kanji pasua kichwa kweli mitego yote anategua bila tatizo yy anapita vizuri halafu anakutega ww mamaee lazima unase tu japo kua mitego ni yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. HAPO SASA NDIPO ANANICHANGANYA MM MPAKA MISHIPA YA KICHWA INANITOKA
Sio rahis
 
Wolverhampton Wanderers - Fulham FC
Over 1.5 goals
1.23

CA San Lorenzo - CA Banfield
Over 1.5 goals
1.43

Internacional RS - CRB AL
Over 1.5 goals
1.31

AC Ajaccio - LB Chateauroux
Over 1.5 goals
1.34

FC Empoli - Spezia Calcio
Over 1.5 goals
1.34

CFR Cluj - CS Municipal Studentesc Iasi
Over 1.5 goals 1.41

Odds: 5.83
 
Karibu mkuu huku hakuna presha kama unakula unakula kama unaliwa unaliwa
Kikapu haina magumashi mengi kama mpira..mpira unaweza ukakauta timu imepewa over 2.5 1.5 alafu mechi ikaisha 0:0 hata goli lisipatikane
 
Kikapu haina magumashi mengi kama mpira..mpira unaweza ukakauta timu imepewa over 2.5 1.5 alafu mechi ikaisha 0:0 hata goli lisipatikane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo ndio nilipochemka football
 
Watu mnavoangaika kujua majina ya app utafkir ndo watashinda[emoji23] [emoji23] vipigo vya kanji vipo pale pale
 
Jamani kwani Working hours kwa PREMIER BET ni zipi? maana nimewithdraw jana saa 4 usiku mpaka saizi kimya tu.


Mkuu mimi toka nimewithdraw jana saa 7 na robo usiku mpk saiv kimya na emails nilizowatumia hawajibu. Inawezekana hawa jamaa kuna muda wa kuwithdraw (wangetuambia sasa if that is the case).
 
wakuu, mbona nikibett princess betting inaniambia kuwa insufficient balance, na wakati nimeweka pesa Leo buku tatu. msaada jamanii au kama kuna namba ya customer care ya airtel nipen jamanii
 
Back
Top Bottom