Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu... Nimesahau password premierbet na kila nikiingiza email ili ni-reset inaniambia email haipo, na nimewasiliana nao kwa watsapp hawajanijibu
 
c39c0aea940790f9220db3b9f6479d0b.jpg
 
If other factors are kept constant, ALBIREX NIIGITA atashinda mapema sana. Toka ligi ya SINGAPORE ianze amepoteza match 1 tu akiwa nyumbani, alifungwa na giant mwingine anaitwa HOME UTD. Wenye imani tumjaribu KANJI. Ili kufanya odd iwe sounding tuweke combo na MELBOURNE CITY
 
Like melbourne city ashmde??
 
Ukiwa mwoga sana jaribu kutembea na safe bet ya over 2.5
 
Ila sydney na Melbourne hawana hxya ov 2.5match za karibun...au kwa kua zote zpo form
 
Kama una roho ngumu twemde hiv
Sydney fc win
Albirex niigata win
Indonesia league...surabaya win
 
Kama una roho ngumu twemde hiv
Sydney fc win
Albirex niigata win
Indonesia league...surabaya win
Sasa hapo kanji alivyokua firauni ubakuta sydney ana draw albirex niigiata anafunga na surabaya anapigwa pia... yani kanji pasua kichwa kweli mitego yote anategua bila tatizo yy anapita vizuri halafu anakutega ww mamaee lazima unase tu japo kua mitego ni yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. HAPO SASA NDIPO ANANICHANGANYA MM MPAKA MISHIPA YA KICHWA INANITOKA
 
Back
Top Bottom