zero percent
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 560
- 647
Ngoja nimjaribu kanji Inplay
Hahaha... Naona ndoto ya vits ilizimwa kama taa.Niliweka kwa kuwa nilikuwa motivated na jamaa angu ofisini mana yy wiki iliyopita aliweka 2M kwny game mbili nakumbuka ni Barcelona Sc(ile ya Ecuador) na Chelsea,Daah jamaa akapiga 2M nyingine bhn,si Ndo nikaiga kunya kwa tembo Ila mm mkeka wangu ulikuwa mzuri mana ulikuwa Wa wiki nzima na iyo game ndo ilikuwa imebaki afu ilichezwa j3,so mi mpk jpili usiku nshakuwa na uhakika na wa 7m,yan iyo siku nlisemaga kanjii ni mchawi na aya mambo yana element hizo daaah
Acha tu...mikeka inalipukaHivi mna angalia game ya arsenal very relaxing has they are in training groud......daaah
![]()
Ngoja nimjaribu kanji Inplay
Poleh mkuuArsenal sijui niliwakoseaga nini yaani . Worst day
[emoji23]![]()
Jamvi la leo nilikuwa naweka huku nafuraha Hatar na imani ya kuamisha mlima saiz[emoji53]
Nahangaika nipate mtaji wa kuweka stake kubwa jamaa wanatafuna hela kiulaini hawajui nnakozitoa[emoji35]Mwenzenu toka nimejiunga princess bet nachezea vichapo tu, sijui nna gundu gani af nshakua teja wa kubeti. Sijui nitafute mtaalam wa saikolojia[emoji16]
![]()
![]()
![]()
LostNa hapa!
Uwenda tatizo likawa mtaji mbona juzi nime withdraw 1000 ( buku) hata dk 3 hazikufika nikawa nimepataNiliwithdraw mida mibovu baada ya game nikajua asubuhi na mapema napata ya supu.
Nashukuru sana nilikuwa sifahamu hiyo issue.
Ila hadi sasa kimya