Mambo vipi wazeia!! Kuna mbinu ambayo nafikiri inaweza ikasaidia katika kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.
Mbinu yenyewe ni kwamba, unacheza games kwa kutumia option ya under 2.5 First Half. Mbinu hii inafaa zaidi kwa games ngumu, mfano mzuri ni games za Jana (Europa). Kama sikosei hakuna game ambayo iliweza kutoa magoli zaidi ya mawili ndani ya kipindi cha kwanza.
Udhaifu wa mbinu hii ni kwamba inatoa Odds kiduchu, mfano 1.05, 1.06, 1.08, 1.12, na 1.14. Kwa hiyo itakulazimu ucheze games nyingi ili kupata Odds unazotaka. Changamoto nyingine ya option hii pia ni kwamba, haipatikani katika baadhi ya makampuni ya betting kama vile Mbet na Sportpesa. Aidha, Princessbet wanayo na kampuni zingine nisizozijua kama zipo.
"Life+time"