😀😀😀😀Premierbet bana ... nmesubiri hela weeee, badala ya kuniwekea kwny m-pesa wameirudisha kwny akaunti ya premierbet. Wanataka niitupie wanile .. [emoji36] [emoji36]
Usjali mkuu mambo yatakuwa sawa.Midjtyland jamani...
Hao wasengerema wakichomoa utanirudisha kijijini rasmi
Ngoja tubane pumbu maana mwenza GALATASARY anapiga tu magoli kama hana akili nzuriUsjali mkuu mambo yatakuwa sawa.
Games za Denmark zinafaa zaidi kwa option ya over/under 1.5/2.5. Sababu zinakuwaga na uwezekano mubwa wa kutoa magoli zaidi ya 2+.Usjali mkuu mambo yatakuwa sawa.
Hongera sana mkuu ilibidi niwe naangalia kila muda hizo game.Jamani eeh...
Nimepata hela ya kwenda kutoa mahari next week
Nime-risk hela nyingi kwenye odd 1.7 maana GALA alikuwa na 1.36 halafu MIDTYLLAND 1.25Hongera sana mkuu ilibidi niwe naangalia kila muda hizo game.
It's time, ni ianze safari murua kabisa.Naingia Kazini na mimi saa nne Kamili ila safari yangu ni ya siku 3 inaisha Jumapili usiku.
Huenda mechi ikaisha kwa sare ila ya kufunganaKwa nini match ya WOLVES na FULHAM inanipa wasiwasi sana
Every little helps [emoji818][emoji818][emoji818]Liwalo na liwe.
Amen Kiongozi napokea Baraka za safari.It's time, ni ianze safari murua kabisa.
Hii sawa na Biko na Mbet
Kampuni mpya imeingia
Yap kweli mkuu, nimewacheki hawana markets (options) nyingi Yaani bora hata mbetHii sawa na Biko na Mbet
ukiweka under2.5 first half afu wakatoka 0-0 first half utakuwa umepoteza au umepata?Mambo vipi wazeia!! Kuna mbinu ambayo nafikiri inaweza ikasaidia katika kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.
Mbinu yenyewe ni kwamba, unacheza games kwa kutumia option ya under 2.5 First Half. Mbinu hii inafaa zaidi kwa games ngumu, mfano mzuri ni games za Jana (Europa). Kama sikosei hakuna game ambayo iliweza kutoa magoli zaidi ya mawili ndani ya kipindi cha kwanza.
Udhaifu wa mbinu hii ni kwamba inatoa Odds kiduchu, mfano 1.05, 1.06, 1.08, 1.12, na 1.14. Kwa hiyo itakulazimu ucheze games nyingi ili kupata Odds unazotaka. Changamoto nyingine ya option hii pia ni kwamba, haipatikani katika baadhi ya makampuni ya betting kama vile Mbet na Sportpesa. Aidha, Princessbet wanayo na kampuni zingine nisizozijua kama zipo.
"Life+time"
Umepata hiyo Mkuuukiweka under2.5 first half afu wakatoka 0-0 first half utakuwa umepoteza au umepata?