Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa mkuu labda unambinu nyingine yakuweka game chache nakupata odds nyingi
 
Sawa mkuu labda unambinu nyingine yakuweka game chache nakupata odds nyingi

Kuna wale ambao ninaweza kuwaita " Dare Devils ".

Mfano: Chelsea vs Qpr
Anamwakea Chelsea

Barcelona vs espanol
Anamwakea Barca.

Real Madrid vs Malaga
Anamwakea Madrid.
Alafu anadondosha Tsh 100,000/=.

Utashindwa vipi kula pesa za tajiri.
 
Mimi sasa nimeshajiona Mwenye damu ya kunguni maana hii sio haki. Nafkiri ni muda wa kupumzika kidogo maana huu ni US*ENGE wa mwisho. Kwa mara ya pili sasa naweka First Half draw 6 zinatoka 5 moja inaniharibia mkeka. Anderlecht ni Mk*ndu wa mwisho kabisa. Daah. Mkeka wangu ulikua hivi

1st Half
Dortmund Draw
Hoffenheim Draw
Napoli Draw
Hertha Berlin Draw
Koln Draw

Anderlecht** Draw

hao ma*enge ndo wakaongoza 1st half na walikua away kwa Gent, Laki na Elfu tatu nimekosa kizembe sana.
Inakera mnoo.
 
wadau msaada hivi kwenye basketball total point 1 na total point 2 zinamaana gani na pia inatofauti gani na total points ya kawaida
 

Sio lazima achomoe then ashinde.
 
kwenye upande wa basketball total point 1 na total points 2 zinamaana gani?
 
leo namtupia Ghana cape 75000X2.85= 213750 NIPATE YA MTAJI WIKIENDI.....HAPO VIPI?
 
Akichomoa na ikabaki sare?
Issue iko katika kuongoza katika kipindi kipi? Kama aston villa lets say anaongoza first half 1-0. West ham for instance akaja akashinda 1-0 second half. Umetusua. Issue sio droo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…