Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuliowahi kukosa héla nyingi za kanjibahi baada ya kuzisukia mkeka wa muda mrefu tuje hapa tukumbushane, nikianza na mimi siwezi kusahau mkeka wangu niliousuka wa timu za wiki nzima ambao ilikua inakuja kama milioni mbili na laki tisa baada ya kuweka elfu nane, matokeo yake anayechana ni real madrid tena alibaki yeye tu, hadi hapo niliamini mhindi ana kauchawi flani hivi..
 
Kuna timu kama borusia Dortmund.. AC Milan...Attretico Madrid siwezi kuzibetia hata siku moja
 
Hivi ukishinda Mil 50 hawa watu watanitumia kweli au wataleta longolongo?
 
Na mm nlikuwa napata hii kitu sijapata msaada hadi leo, nkaamua kuachana nao !
Chakushangaza nlienda betshop zao wafanyakaz et hawajui Kama unaweza deposit kwa mobile money ikabd tu nisepe
 
kizuri tunakula wote chukua mkeka huu hapa mkono wa kulia kazi ni kwako

 
Asante kamanda ... sasa sina jinsi maana siwezi kuwithdraw mpk j'3.

Two options ...
1. Ni subiri mpk j'3 ili niitoe
2. Niiwekeze izalishe (lkn kuna kuipoteza pia) [emoji12][emoji12]. Ni 270K

Na mimi wameirudisha, lengo lao ni tubetie leo. Nasubiri J3 asubui niitoe[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…