khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
i mean tukae chini tupige dili za kutafuta pesa halali na sio bahati na sibu
ajax simuelewi anaeza akapigwa kaka.unaeza ukamweka BURSASPOR WINLeo ghana na ajax tu mzigo mkubwa
ajax simuelewi anaeza akapigwa kaka.unaeza ukamweka BURSASPOR WIN
Issue iko katika kuongoza katika kipindi kipi? Kama aston villa lets say anaongoza first half 1-0. West ham for instance akaja akashinda 1-0 second half. Umetusua. Issue sio droo hapa
Mkuu hii inakuaje
Hi 17 na 19 tunaita Fixture # ni namba tu za mechi mfano Mechi namba 2 Man u vs Asenal,,au mech namba 4.chels vs liva katika set namba flan...kila mechi inakua na set namba yake yan namba ya lile karatas ambapo mech zmeorodheshwa pale mfano set 8654
Ukija sasa kweny hizo namba alzotmia mdau apo juu ni namba zilizopo kwenye Set inaitwa halftime/full time yaani io unabashir matokeo ya mech Kipindi.cha.kwanza na kipind cha pili pia
Mfano chels vs Liva unatabir had kipind cha 1 kinaisha Liva atakua anaongoza kwa magoli kadhaa alaf kipind ch pil unatabir pia labda Chels atasawazisha ,,na kuongeza au labda Liva ataongeza goli!!hii set n ngum sana kuioteaa lakini ina points nyiingii sana ndo mana tunaitaga 'NgumuKumeza' !!
Nashukuru kwa maelezo ntaanza haka kamchezo
Kuna wale ambao ninaweza kuwaita " Dare Devils ".
Mfano: Chelsea vs Qpr
Anamwakea Chelsea
Barcelona vs espanol
Anamwakea Barca.
Real Madrid vs Malaga
Anamwakea Madrid.
Alafu anadondosha Tsh 100,000/=.
Utashindwa vipi kula pesa za tajiri.
leo namtupia Ghana cape 75000X2.85= 213750 NIPATE YA MTAJI WIKIENDI.....HAPO VIPI?
Hizi fujo daaaah aibu kwa africa
aibu sana hapa muindi alikua anaomba game ivunjike
Mimi nimebashiri gem mbili ya liver na ya RMA zote nimepiga,nimecheza m.bet *149*19# ebu niambieni watanilipa?
aibu sana hapa muindi alikua anaomba game ivunjike