Huu mkeka ni mechi chache lakini uhakika ni 85%....Total odds ni 10.054
View attachment 624626
Tips:
Totenham vs Crystal Palace
- Totenham wapo nyumbani dhidi ya timu iliyokuwa na matokeo mabaya zaidi kuliko timu zote kwenye ligi
- Totenhama wanacheza nyumbani wakiwa wametoka kupokea kichapo kutoka kwa man utd,leo lazima wataanza game kwa kasi sana ili kupata magoli mengi mapema huku wakiamini ni nafasi pekee ya kupunguza gepu lao na Mau utd ambao watakuwa na mchezo mgumu.
- Crystal Palace wamepoteza michezo 7 mfululizo wakiwa wanacheza ugenini
- Totenham hawajafungwa mechi 23 mfululizo kati ya mechi 24 wakiwa wanacheza nyumbani
- Head to head kati ya Totenham na C. Palace ,Totenham walipata clean sheet 5 kati ya mechi 7 wakiwa nyumbani
Utabiri
-Totenham will score in both halves and win the match.
-Totenhama atapata clean sheet
-Over 1.5,under 3.5
-Hii ni mechi nzuri sana ya kuicheza inplay.
Tips: Mancester city Vs Arsenal
tips zipo nyingi sana,lakini hawa jamaa wakikutana GG ni kawaida sana kutokea,mpira utakuwa wa kasi sana kwa kushambuliana kwa zamu.Man city watatawala kipindi cha kwanza na uwezekano wa kupatikana goli zaidi ya moja kipindi cha kwanza ni mkubwa. Kazi kwako mdau.
Mimi nimeweka betting yangu under 4.5 cards....Yes ni Under 4.5 cards why??
-pale dimbani leo anasimama refa mmoja anaitwa Michael Oliver...tangu mwaka 2006 mpaka 2017 hana rekodi ya kutoa kadi nyingi kwenye big games...angalia rekodi yake hapo chini...
View attachment 624628
Tips:
Chelsea Vs Man utd
- Hapa inafahamika kabisa Man utd wataingia kufata droo tuu,mpira utakuwa ni wa kushambulia kwa chelsea huku Man utd wakisubilia kufanya counter attack...ukitaka kubet kwa uhakika WEKA UNDER 1.5 goals in first half...(mimi nimeweka under 0.5goals kwa sababu ya tamaa tu ya odds kubwa,wewe weka Under 1.5 first half)....