Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tangu nimeanza kubet ni mwezi sasa unakaribia. nimeshaliwa kama 50k nikahisi kukata tamaa nimekuwa nikibadili mbinu kila mikeka ichanikapo. sasa nimekuja na mbinu mpyaa na Jana tu nimeona matunda yake! betting ya under 2.5 half time ni target nzuri sana mikeka wako unakuwa at safe zone 90%! japo wanatoa odds chache inabidi niende hivi hivi naamini nitafika kama wengine
 
5VGHWYZ
05/11/2017 00:19:02
Code 1051 Date 05/11/2017 15:00
Event Chievo - Napoli
Live/Prematch Normale
Selection 2
Code 1052 Date 05/11/2017 15:00
Event Fiorentina - Roma
Live/Prematch Normale
Selection X2
Code 1049 Date 05/11/2017 12:30
Event Inter - Torino
Live/Prematch Normale
Selection 1
Code 1054 Date 05/11/2017 15:00
Event Lazio - Udinese
Live/Prematch Normale
Selection 1
Code 2367 Date 05/11/2017 18:30
Event Villarreal - Malaga
Live/Prematch Normale
Selection 1
Code 1353 Date 05/11/2017 12:30
Event ADO Den Haag - Feyenoord Rotterdam
Live/Prematch Normale
Selection 2
Code 1354 Date 05/11/2017 14:30
Event Ajax Amsterdam - FC Utrecht
Live/Prematch Normale
Selection 1
Code 1356 Date 05/11/2017 16:45
Event PSV Eindhoven - FC Twente Enschede
Live/Prematch Normale
Selection 1
Stake: ₦ 500.00

odds 6+
 
tangu nimeanza kubet ni mwezi sasa unakaribia. nimeshaliwa kama 50k nikahisi kukata tamaa nimekuwa nikibadili mbinu kila mikeka ichanikapo. sasa nimekuja na mbinu mpyaa na Jana tu nimeona matunda yake! betting ya under 2.5 half time ni target nzuri sana mikeka wako unakuwa at safe zone 90%! japo wanatoa odds chache inabidi niende hivi hivi naamini nitafika kama wengine
Kampuni ipi wanatoa option hyo mkuu
 
Akhisar Ov 2.5
Istanbul gg
Chaves gg
Cologne ov 1.5
Atlanta win n ov 1.5
Lazio gg n ov 1.5
Juve win n ov 2.5
Roma gg
Chievo ov 1.5
Intermillan win
R.betis gg n ov 1.5
Madrid w ov 2.5
Levante w gg
Espanyola w gg ov 1.5
*MAN U LOSE STAKE WIFE*
 
Celtavigo gg
Realmadrid ov
Malagga gg
Sociedad ov

*stakegfriends*
 
Mambo vipi wazeia!! Kuna mbinu ambayo nafikiri inaweza ikasaidia katika kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.

Mbinu yenyewe ni kwamba, unacheza games kwa kutumia option ya under 2.5 First Half. Mbinu hii inafaa zaidi kwa games ngumu, mfano mzuri ni games za Jana (Europa). Kama sikosei hakuna game ambayo iliweza kutoa magoli zaidi ya mawili ndani ya kipindi cha kwanza.

Udhaifu wa mbinu hii ni kwamba inatoa Odds kiduchu, mfano 1.05, 1.06, 1.08, 1.12, na 1.14. Kwa hiyo itakulazimu ucheze games nyingi ili kupata Odds unazotaka. Changamoto nyingine ya option hii pia ni kwamba, haipatikani katika baadhi ya makampuni ya betting kama vile Mbet na Sportpesa. Aidha, Princessbet wanayo na kampuni zingine nisizozijua kama zipo.

"Life+time"
Wakuu, hii mbinu inamatokeo mazuri. Mwaweza ijaribu ili tuendelee kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.

"Life+time"
 
tangu nimeanza kubet ni mwezi sasa unakaribia. nimeshaliwa kama 50k nikahisi kukata tamaa nimekuwa nikibadili mbinu kila mikeka ichanikapo. sasa nimekuja na mbinu mpyaa na Jana tu nimeona matunda yake! betting ya under 2.5 half time ni target nzuri sana mikeka wako unakuwa at safe zone 90%! japo wanatoa odds chache inabidi niende hivi hivi naamini nitafika kama wengine
Ni kweli Mkuu, ni mbinu ambayo inaonesha mwendelezo wa matokeo mazuri. Mwenyewe nimeanza kuitumia toka ijumaa, ngoja tuambae nayo kwanza maana Kanji bila kubadilibadili mbinu hashikiki kirahisi asee!!!.
 
Jaribu

Juv ov 1.5
Man u gg
Rmadrid ov 1.5
Roma gg

***ACCA II *****
MAN U OV 2.5
RMADRID WIN
ROMA OV 2.5
JUV OV 1.5
****

**ACCA III***
COLOGNE OV 1.5
CHAVES OV 1.5
LAZIO OV 1.5
AKHISAR OV 2.5
INSTANBUL OV 1.5

BLSD SUNDAY

[HASHTAG]#tmpambananahaliyako[/HASHTAG]
 
e272a4ff583ea397294540c5660f9f83.jpg

Huyu mshikaji aliyeweka huu mkeka tunaomba tena aweke mwingine leo tuufate. Huku PRINCESS BET ulinipa odd 4.6 hvyo nimepata buku 30+ kama faida baada ya ku-invest 10k
 
Unazali sn mkuu maan vitasa nilivyochezea Jana hapa ni kudra tu za jamaa mmoja aliyetolewa mkeka vibaya na kuukataa nikaulipia buku Leo naenda kuwahi kuturbo unless ilikuwa no more business untill farther capital
Leo navizia vizia tena maana duuuu msimu ulopita nilipigwa ko nyingi
 
Back
Top Bottom