Meridian wana hiyo option?Sio lazima kuangalia video/match, unaweza uka place bet yo ndani ya dakika 3 matokeo tayari
Yes, Ipo.Meridian wana hiyo option?
Ambaye amewahi kutusua kwenye betting aprove hapa aliwahi pata mil ngapi, na alitumia kiasi gani na alicheza category ipi... normal? under/over, BTTS au jackport... Binafsi mhindi kanipiga sana nilianza m-bet sasa nipo mkekabet, yani bora m-bet nikila hata buku kumi kumi. nikihesabu hela yangu kwenye bet history karibu nitoe machoz na kuacha nashindwa
Mimi pia nimetoa mahari kutokea kwenye mikekaMkuu,ushuhuda uliowazi kabisa!!!
Nimemaliza kupaua nyumba yangu wiki iliyopita kwa hela ya kubet tuuuu....
Nilijenga boma kwa hela zangu mwenyewe ila ya kupaua ni muhindi ndo alienichangia(na malengo yangu nataka mpaka finishing ya hii nyumba niipate kwenye kubet)....
Kubet ni kujicontrol tu mkuu,ukitaka nikuelezee najicntrol vipi mpaka nafanikiwa ntakuelezea.
Type namna mkuuMkuu,ushuhuda uliowazi kabisa!!!
Nimemaliza kupaua nyumba yangu wiki iliyopita kwa hela ya kubet tuuuu....
Nilijenga boma kwa hela zangu mwenyewe ila ya kupaua ni muhindi ndo alienichangia(na malengo yangu nataka mpaka finishing ya hii nyumba niipate kwenye kubet)....
Kubet ni kujicontrol tu mkuu,ukitaka nikuelezee najicntrol vipi mpaka nafanikiwa ntakuelezea.
Tupe mzee bhabhaMkuu,ushuhuda uliowazi kabisa!!!
Nimemaliza kupaua nyumba yangu wiki iliyopita kwa hela ya kubet tuuuu....
Nilijenga boma kwa hela zangu mwenyewe ila ya kupaua ni muhindi ndo alienichangia(na malengo yangu nataka mpaka finishing ya hii nyumba niipate kwenye kubet)....
Kubet ni kujicontrol tu mkuu,ukitaka nikuelezee najicntrol vipi mpaka nafanikiwa ntakuelezea.
Hongera sana, Nipe ABC unabetije, mchango wako utanisaidia sana. Huwa napitia sana mitandaoni kabla ya kubeti hasa kwenye Uzi huu lakini napigwaaa!Kuna soccer predictions nyingi ukigoogle tu zinakuja, nikizichambua na kubeti bado napigwaaa!Mkuu,ushuhuda uliowazi kabisa!!!
Nimemaliza kupaua nyumba yangu wiki iliyopita kwa hela ya kubet tuuuu....
Nilijenga boma kwa hela zangu mwenyewe ila ya kupaua ni muhindi ndo alienichangia(na malengo yangu nataka mpaka finishing ya hii nyumba niipate kwenye kubet)....
Kubet ni kujicontrol tu mkuu,ukitaka nikuelezee najicntrol vipi mpaka nafanikiwa ntakuelezea.
Fredericia hizo Odds ni za first Half?FC Fredericia - Viborg FF
Over 0.5 goals
1.34
Aguilas Doradas - Deportivo La Equidad
Aguilas Pereira
1.30
Glentoran FC - Ballymena United
Over 1.5 goals
1.16
Odds 2.02
waisrael wale wenye vibonde wote nimewatupia under 2.5 afu odd 250
Huwa unalendelea kuweka timu ngapi na shingapi? Ushauri wa bure usipende kubet zaidi ya tmechi 6, yani namaanisha timu sita kushuka chini. Ukiweza uwe unajiwekea mfano unatafta odds labda tatu tu kwa kila mkeka hii itakusaidia mfano ukitumia option ya Btts yes or no. Huwa na odds 1.40+ hadi 1.80. so utahitaji mechi 2 had tatu kupata odds 3+.Hongera sana, Nipe ABC unabetije, mchango wako utanisaidia sana. Huwa napitia sana mitandaoni kabla ya kubeti hasa kwenye Uzi huu lakini napigwaaa!Kuna soccer predictions nyingi ukigoogle tu zinakuja, nikizichambua na kubeti bado napigwaaa!
Saivi nabet 1×2 BTTSL ya mkekabet mana ina hela nyingi ila sijawahi FANIKIWA.
mkuu sorryJamvi please
mkuu sorry
nilotoka kidogo
>>>Ironi rishin vs hapoel bney (nimempa under 2.5 )
>>>hapoel marmelic vs Ironi N(under2.5)
odd zilitoka 43.17 hebu cheki kwako