dj iz
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 241
- 287
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]je wakitoka 0:0
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]je wakitoka 0:0
au away akapata goal Hom akakosa...yaani 0:2,3[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]
Wacha tu mkuu na mimi jana imenipukutisha sina hamuVirtual Football League - Premierbet nao sio mchezo mzuri. Leo nimesema nijaribu huko, nikaanza vzr kwa option ya over 1.5 ... duuh, alivyoanza kunipukutisha sina hamu. Ngoja nichukue likizo fupi.
View attachment 625429
Wacha tu mkuu na mimi jana imenipukutisha sina hamu
Yeah mkuu hizi mechi za kimataifa zinazingua kinoma...ila kwa kona under 12.5 zinatoa kinoma hasa hizi friend match maana uwa hawakamiani sana.Noma, kila napogusa nakutana na za uso ... halafu unakuta mkeka mwingine wa odds 40, 75 kuna mpuuzi mmoja ameharibu. Grrrrrrrrrrrr
Ngoja nipumzike kdg ... nitarudi weekend. Ila haya ma-international break ndo yanatuvuruga muda mwingine.
Nikweli Princess Bet wana option nyingi aysee za kubetiaa sanaa ukiumiza kichwa mbnaa unatusuaaa..Wakuu, hii mbinu inamatokeo mazuri. Mwaweza ijaribu ili tuendelee kugawana umasikini kutoka kwa Kanji.
"Life+time"
nAtakiwa uwe na mb nyingi ili ucheki videos?Virtual Football League - Premierbet nao sio mchezo mzuri. Leo nimesema nijaribu huko, nikaanza vzr kwa option ya over 1.5 ... duuh, alivyoanza kunipukutisha sina hamu. Ngoja nichukue likizo fupi.
View attachment 625429
Mtafute Jf member anaitwa rootAmbaye amewahi kutusua kwenye betting aprove hapa aliwahi pata mil ngapi, na alitumia kiasi gani na alicheza category ipi... normal? under/over, BTTS au jackport... Binafsi mhindi kanipiga sana nilianza m-bet sasa nipo mkekabet, yani bora m-bet nikila hata buku kumi kumi. nikihesabu hela yangu kwenye bet history karibu nitoe machoz na kuacha nashindwa
Sio lazima kuangalia video/match, unaweza uka place bet yo ndani ya dakika 3 matokeo tayariHiyo u
nAtakiwa uwe na mb nyingi ili ucheki videos?
Hawaizidi premierbetNikweli Princess Bet wana option nyingi aysee za kubetiaa sanaa ukiumiza kichwa mbnaa unatusuaaa..
Hiyo option mi mwenyewe meielewa sana.
Hiyo u
nAtakiwa uwe na mb nyingi ili ucheki videos?