Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu poleni sana, Ila kuna timu za ******* sana. Npo hapa naugulia maumiv tu
 
Screenshot_20171105-220753.png
yan nimechezea za uso mpka nakosa nguvu ya kujilipua
 
Nataka nijiulize ...

AS Saint Etienne - Olympique Lyon
Olympique Lyonnais
1.84
X

Real Madrid - Las Palmas UD
Over 1.5 goals (First Half)
1.52
X

Vasco Da Gama RJ - Vitoria BA
1/X
1.27
X


Odds: 3.55
 
Naenda kulala tu mkuu, kumrudia tena mhindi labda weekend ijayo.... Nahic kutakuwa na International games.
 
Back
Top Bottom