Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

70ba95fe389224ad955804447adf68e3.jpg

4.09 odds
 
Hii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu
 
upepo mbaya kausha, kubet kwa hasira mbaya sana
 
Hii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu

Mkuu, utaliwa tena. Kausha! Never bet for the sake of returning the lost money.
 
Baada ya kuliwa kwa leo kila mkeka hasira zimeniijia na kujifanya Mwendawazimu nimekutana na timu tatu za Slovakia kwa hasira zangu bila kujali historia zao wala zinapotoka nikazipa zote over 2 mbili zimetoa tayari moja ina mabao mawili nasubiri bao moja na mimi nikenua.

Ila mwambieni Napoli kuna siku.
 
Man U nilishampa gg mechi 2 akaniumiza dhidi ya Liver, na Spurs.... Na leo tena namdhamini dhidi ya Chelsea.
 
Back
Top Bottom