Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mliovurugwa na inter msitukane kuweni wapole iwaingie, muda si mrefu tutahamia kwenye jumba la porn kila mtu atakua alia na utamu wake kwaio nyie mnaolia sa ivi mnatu pressure rise
 
IMG_20171105_165604_194.jpg
Baada ya Inter kushirikiana na Khanji, ngoja twende hivi game za saa 11 jioni, mwendo wa first half.
 
Siku nyingine ukicheza mikeka zaidi ya miwili, usirudie timu. Kwanini urudie timu wakati ziko kibao tu?. Ila pole Mkuu Ndiyo michezo ya kubahatisha ilivyo, ina matokeo mawili tu, Kupata au Kukosa.
Sawa mkuu sitarudia kosa tena
 
Siku nyingine ukicheza mikeka zaidi ya miwili, usirudie timu. Kwanini urudie timu wakati ziko kibao tu?. Ila pole Mkuu Ndiyo michezo ya kubahatisha ilivyo, ina matokeo mawili tu, Kupata au Kukosa.
Kuna team zinaaminika mkuu.
 
Back
Top Bottom