Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu
Mkuu vipi?Mbona niliku tag leo katika Odds 2.22 ambazo na uhakika nazo sana leo hata angeweka gari angekula maana nilizipitia mara kumi kumi na kuzithibitisha. Inamana uliziacha hizo
 
Hii kazi ni ngumu sn aiseee ... mpk sasa huyu nyang'au kachukua 70K yangu ... Hivi hiyo ningesema nkapige zangu K-Vant, Tonic na nyama choma si ngemalizia weekend yangu murua kbs. Nimebaki na 30K nijiulize amanikaushe tu. Upepo mbaya huu
upload_2017-11-5_20-50-33.png

Niliku tag(mention) na hii kitu ya Odds 2.21 ambayo leo hata mtu angeweka gari na nyumba na angepata maana nilizichambua mara kumikumi, vipi ukuiona nn?
 
View attachment 624969

Niliku tag(mention) na hii kitu ya Odds 2.21 ambayo leo hata mtu angeweka gari na nyumba na angepata maana nilizichambua mara kumikumi, vipi ukuiona nn?

Duuh sikuiona hii mkuu ... yani ndo naiona saiv aiseee. Mara nyingi nkiwa kwny laptop ndo naona notifications zote ... kwny cmu sometimes namiss baadhi ya notifications!
 
tapatalk_1509897658110.png
bado goli moja game ya real sociedad na eibar...saiv ni mapumziko na matokeo ni 2-0
 
Duuh sikuiona hii mkuu ... yani ndo naiona saiv aiseee. Mara nyingi nkiwa kwny laptop ndo naona notifications zote ... kwny cmu sometimes namiss baadhi ya notifications!
AS Saint Etienne - Olympique Lyon
No red card
1.27

US Sassuolo - AC Milan
X (10 minutes rslts)
1.17

KV Oostende - SV Zulte Waregem
Over 1.5 goals
1.17

Real Madrid - Las Palmas UD
Over 0.5 goals (First Half results)
1.11

Maccabi Haifa - Bnei Sakhnin FC
Maccabi Haifa (Handicap 1-0)
1.15

Total Odds 2.22...namjaribu tena hapa, kama bado una courage twende wote
 
Hapa nimekupata Chief ... ngoja twende sawa.
 
huwa nabaki nacheka jinsi tunavyotafunwa na kanji afu baada ya game tunakuja hapa na hasira!!
 
inter kanichania ,atalanta nae huyo anachana mamaaee!!napumzika wiki nzima nkirudi narudi na single bet kwa stake mlima !!potelea mbali
 
Sio bure, kuna uchawi aisee. Baada ya kupokea vichapo vya kutosha mchana kutoka kwa AJAX nikaamua nimvizie KANJI kwa mkeka wa kulalia. Kwenye mkeka wangu kuna
VILLAREAL 2.5
SOCIEDAD WIN
DYNAMO KIEV WIN..
Sasa naona VILLAREAL anakula tu ubuyu bila kujua nimeweka hela zangu kwake
 
Bora wewe hata mechi bado unaendelea mimi nimepigwa bila huruma kila sehemu
 
Back
Top Bottom