Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

correct score

Le Havre vs Reims
1:1

Huesca vs Zaragonza

1:1

weka mzigo
 

Mkuu,ushuhuda uliowazi kabisa!!!

Nimemaliza kupaua nyumba yangu wiki iliyopita kwa hela ya kubet tuuuu....

Nilijenga boma kwa hela zangu mwenyewe ila ya kupaua ni muhindi ndo alienichangia(na malengo yangu nataka mpaka finishing ya hii nyumba niipate kwenye kubet)....

Kubet ni kujicontrol tu mkuu,ukitaka nikuelezee najicntrol vipi mpaka nafanikiwa ntakuelezea.
 
Mimi pia nimetoa mahari kutokea kwenye mikeka
 
Type namna mkuu
 
Tupe mzee bhabha
 
Hongera sana, Nipe ABC unabetije, mchango wako utanisaidia sana. Huwa napitia sana mitandaoni kabla ya kubeti hasa kwenye Uzi huu lakini napigwaaa!Kuna soccer predictions nyingi ukigoogle tu zinakuja, nikizichambua na kubeti bado napigwaaa!
Saivi nabet 1×2 BTTSL ya mkekabet mana ina hela nyingi ila sijawahi FANIKIWA.
 
nimebakiwa na elfu hamsini pekee naiweka yote hapa nikipigwa natulia wiki mbili nzima

Schweinfurt 05 - 1 FC Nuremberg II
Over 0.5 goals in first half
1.25

Ironi Rishon Lezion - Hapoel Bney Lod
1/2
1.31

Odds: 1.64
 
FC Fredericia - Viborg FF
Over 0.5 goals
1.34

Aguilas Doradas - Deportivo La Equidad
Aguilas Pereira
1.30

Glentoran FC - Ballymena United
Over 1.5 goals
1.16

Odds 2.02
 
FC Fredericia - Viborg FF
Over 0.5 goals
1.34

Aguilas Doradas - Deportivo La Equidad
Aguilas Pereira
1.30

Glentoran FC - Ballymena United
Over 1.5 goals
1.16

Odds 2.02
Fredericia hizo Odds ni za first Half?
 
Huwa unalendelea kuweka timu ngapi na shingapi? Ushauri wa bure usipende kubet zaidi ya tmechi 6, yani namaanisha timu sita kushuka chini. Ukiweza uwe unajiwekea mfano unatafta odds labda tatu tu kwa kila mkeka hii itakusaidia mfano ukitumia option ya Btts yes or no. Huwa na odds 1.40+ hadi 1.80. so utahitaji mechi 2 had tatu kupata odds 3+.
Chukulia mfano una mtaji wa laki. Kila mkeka weka 20000 unapata 60000+. Utakuwa na mikeka 5 ya 60k kila mmoja.

Ukichambua vizuri unaweza kuta kuanzia miwili inatiki. Ikitiki mitatu tayari una 180k.

Kikubwa kuepuka tamaa kwenye huu mchezo.

Binafsi huwa nacheza option ngumu kwa timu moja hadi mbili.

Ila ningekushauri uchambue mechi ucheze kwa BTTS (gg or ng), over 2.5 or under 2.5, second half over 1.5, home or away team over 0.5 or over 1.5, Hizi option zitakufaa kama utatumia mechi 2 had 3. Hii ni kwa sababu huwa na odds za kati its means 1.40+

Kama utacheza kwa mechi sita kwa kila mkeka utahitaji kutumia over 1.5, over 0.5 half time, over 0.5 second half, Double chance 12 (any one to win) under 3.5 or 4.5, half time under 2.5.


Kwa kujaribu huo ushauri wangu chukua hata 2500 jaribu kwa jero jero kwa kila mkeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…