Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps,
[emoji818][emoji818][emoji818]
 
Habari zenu wakuu??? Kwa unyonge sana naombeni msaada nilikuwa nawithdraw kwenye Premier bet bahati mbaya nikatumia voucher na huku nilipo siwezi pata betshop..lengo ni kuwithdraw kupitia mpesa naombeni msaada nini naweza fanya sijawahi kutumia voucher.
Natanguliza shukra
 
Watairudisha wasiliana nao kupitia email au namba ya wasap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…