Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
mwanangu huyo swanswea haaminiki.. haziminiki kama bata...
Ongezea
Atl.madrid
Man city
Wewe hiyo tamu kutema mkeka wamoto sana huo
Duuu st etiene chaliii
Duuu st etiene chaliii
Sema me nishautupia mpaka sasa st etiene anaongoza team za kesho nyingi huakika
Timu za France wanadraw sana
Kesho utuletee mrejesho mkuu.
mkuu unaiua chelsea kwa timu isiyoweza kufunga magoli???? bora uweke drawhuu vp kwa kesho wa dau
arsenal draw
chelsea lose
crystal palace win
man city win
Tunapoteza hela kirahisi kwa sababu ya kubet kimapenzi instead ya kufata statistics,
Lig ya ufaransa na ujerumani njia nzuri ya kumla mhindi ni GOALS 0-3 JAPO ODDS NI CHACHE KWA WALE WENYE MITAJI ITAWAFAA SANA. Fuatilia kisha utanipa majibuKuna hata match ya juve na milan watu wanamdharau milan na kumuona kama timu dhaifu mbele ya juve ila anaweza chanachana mikeka ya watu leo.
Tunapoteza hela kirahisi kwa sababu ya kubet kimapenzi instead ya kufata statistics,